meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Habari za jioni!
Najua wengi wetu tumewahi kusafiri na magari binafsi na moja ya matatizo yanayopelekea kupigwa fine na Traffic Police ni lile la kuendesha mwendo mkali kuliko kibao kilivyokuamrisha.
My observation ni kwamba kosa hilo huwa linabambikizwa tu kwa madereva wanaoendesha magari binafsi kwani kipengele cha makosa ya over speed kinahusu magari ya biashara au ya umma au ya mizigo.
Mimi kuanzia jana nimeanza kukataa kulipia fine hiyo ya kiuonevu !
Angalia ile notification uliyopewa ina orodha ya makosa hilo halipoAiseee ni kweli au maana jana tu wamenilima fine ya 30 mombo njia wakat naenda lushoto na gari private
Habari za jioni!
Najua wengi wetu tumewahi kusafiri na magari binafsi na moja ya matatizo yanayopelekea kupigwa fine na Traffic Police ni lile la kuendesha mwendo mkali kuliko kibao kilivyokuamrisha.
My observation ni kwamba kosa hilo huwa linabambikizwa tu kwa madereva wanaoendesha magari binafsi kwani kipengele cha makosa ya over speed kinahusu magari ya biashara au ya umma au ya mizigo.
Mimi kuanzia jana nimeanza kukataa kulipia fine hiyo ya kiuonevu !
Hapana...bali ndicho wanachokiandika polisi...naona wamebuni kosa lao wenyewe!Imeandikwa over speed
Adhabu yake ni nini?Ile ni Amri!Mi nichojua kuna Alama, amri, onyo etc barabarani. Kibao cha hamsini ni amri yaani cha round, ile ni amri kwa chombo chochote kinachotumia barabara . Usidanganye watu
Ndo ilivoandikwa kua nimezidi mkuu so walitakiwa waandikeje tena nimesumbuana nao sana ni mombo karibu na hoteli ya liverpool na kituo cha mafuta cha lake oil walijificha kwenye mti mi nimetokea mombo mjini naenda liverpool kula ndo npandishe katima kile kipori pale nipo 70 nikapigw tochi pale
Soma kipengeke cha sheriaHabari za jioni!
Najua wengi wetu tumewahi kusafiri na magari binafsi na moja ya matatizo yanayopelekea kupigwa fine na Traffic Police ni lile la kuendesha mwendo mkali kuliko kibao kilivyokuamrisha.
My observation ni kwamba kosa hilo huwa linabambikizwa tu kwa madereva wanaoendesha magari binafsi kwani kipengele cha makosa ya over speed kinahusu magari ya biashara au ya umma au ya mizigo.
Mimi kuanzia jana nimeanza kukataa kulipia fine hiyo ya kiuonevu !
Kipi mkuu?unaweza kushare hiko kifungu kinachotaka ulipe fine kwa overspeed ukiwa na private car?Soma kipengeke cha sheria
Hata mimi kaka juzi wamenifanya vibaya kule Mara wameweka vibao vya 50kp/h kwenye miteremko karibu yote na hasa Trm wapiga kamera wanajificha kwny madaraja.
Tatizo lenu mkiwa kwenye magari yenu mnajifikiria nyinyi tu. Ukisababisha ajali na gari yako usifikiri muathirika anaweza kuwa wewe tu. Kuna watumiaji wengine wa barabara vilevile labda ungekuwa na private road. Speed limit inahusu kila gari,liwe lako binafsi au la jumuia inakuhusu.Habari za jioni!
Najua wengi wetu tumewahi kusafiri na magari binafsi na moja ya matatizo yanayopelekea kupigwa fine na Traffic Police ni lile la kuendesha mwendo mkali kuliko kibao kilivyokuamrisha.
My observation ni kwamba kosa hilo huwa linabambikizwa tu kwa madereva wanaoendesha magari binafsi kwani kipengele cha makosa ya over speed kinahusu magari ya biashara au ya umma au ya mizigo.
Mimi kuanzia jana nimeanza kukataa kulipia fine hiyo ya kiuonevu !
Traffic offence faini yake ni 30000 au jela, overspeeding is an automatic road traffic offence. Soma hiyo sheria mwanzo kabla ya specific vifungu. Unless unataka kubisha kuwa overspeeding sio offence. Kimsingi kibao cha hamsini kinawekwa sehemu za hatari kwako na kwa wengine wanaotumia barabara. Tii sheria bila shurti. Mi concern yangu ni Haya mambo ya kuviziana, kwann polisi wasikae kabla ya vibao na kutoa tahadhari ya kupunguza mwendo badala ya kujificha kwenye magari yao binafsi na kwenye madaraja ili kutengeneza pesa? Mbaya zaidi nasikia serikali nayo imesite hizi fine za barabarani kama source ya pesaAdhabu yake ni nini?Ile ni Amri!