majibu yaliyotolewa bado hayajaeleweka. Inapokuwa imewashwa inamaanisha pale mwanga unapokuwa unatokea kwenye dash board au wakati hakuna mwanga unaonekana?
O/D inalimit gari lisiende mwendo zaidi ya 3rd gear....... yaani hutumika katika miteremko mikali au mlima. Inapokuwa imewashwa maana yake gar inakuwa huru kuenda zaidi ya gear namba 3 yaani 4 na kuendelea......
Natumaini nimekusaidia kwa kiasi fulani😀

Hii topic kila kukicha inanzishwa, halaf natoka kappa
Sasa correct me if am wrong: ILE TAA KWENYE DASHBOD HAITAKIWI IWEPO ILI U-SAVE MAFUTA, sawa au sio sawa?
Naommba jibu liwe tu SAWA aU SIO SAWA ili musiendeleee kunichanganya

Ata mimi mwenyewe hii O/D uwa nabaki dilemma watusaidie majibu wadau
Overdrive kama ilivyo Ni gear ya juu unapohitaji mwendo na fuel consumption ndogo au gia namba 5. Mara nyingi gari za kawaida huwa na Gear 4 na ya tano ndio final au O/D hivyo kwa hali ya kawaida inabidi iwe ON na dashboard isionyeshe kitu hivyo utakuwa unadrive kwa moangilio unaotakiwa wa gear yaani 1_2,2-3,3-4 na hatimaye 4-5.Lakini ikiwa O/D OFF(taa ya dashboard itawaka kukutahadharisha) kuwa unadrive mwisho gear no 4 tu hata kama engine revolution ipo high.yaani unacruise na power zaidi na unatumia more fuel ndio maana hata taa itawaka kukukumbusha
Normal it should be ON_ but the light is off! Na ukiweka OFf ni pale unapohitaji kuongeza nguvu kama kuovertake ama kupanda mlima.yaani ingekuwa manual ni unapangua gia kurudi gia kubwa upate nguvu zaidi kuoanda mlima ama kuovertake na hivyo kunywa zaidi mafuta
Matumizi ya kawaida OD iwe off na taa ya kwenye dashboar isiwake
Kumbuka taa nyingi za Dashboard ni ALERTS au WARNINGS kuwa kuna kitu kipo katika hali isiyo ya kawaida kimatumizi
Umesomeka five five OLESAIDIMU