Over 30 wanauzoefu na mahusiano jamani

buyism

Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
58
Reaction score
5
Ukibahatika kumpata over 30 ambaye kaamua kutulia utafaidi sana ukiacha uzoefu na mikitu aliyopitia ni wavumilivu mno hawa.
 
"Over thirty" ni mwaka wenu huu...!
 
mnarudia rudia thread had mnaboa ptuuuuuu
 
Mhhh....wengi wanataka ndoa shimo la uzee wakiwa single huwa linawavizial lakini ni watu hatari sana anaweza kutaka kuolewa kwa sababu ya age threat tu lakini infact hayuko kwenye love na tatizo linakuja pale ndoa inapoanza kumchosha ......turns to be rude woman
 
[QUOTEuuurrgtu=MankaM;10713287]mnarudia dtgrudia thread had mnaboa ptuuuuudghvu[/QUOTE]


Dgajwggdwghd


 
Makubwa.
Siamini kama kibao kimegeuka. Ilikuwa ni kuwaponda tuuu wadada ambao umri wao ni 30+. Kumbe ilikuwa ni sitaki nataka.
 
Reactions: kui
dah! Mambo ya k.., yanazingua sana
 
Mtuache tupumue jameni kha??? Ama mie sihusiki maana mie nipo above 40..... Wapi lara 1 unaitwa huku he he.... Wapi Maty MwanajamiiOne hii inawahusu sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…