IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
Ofisi yetu; KIMI LTD ipo Mbeya, Ukiacha huduma za business Consultancy pia tunatoa Huduma za Outsourcing kwa mtu au taasisi aliye nje ya jiji mbeya anaweza kuweka mkataba nasi kwa ajili ya kumtafutia, kununua na kumletea Bidhaa yoyote inayopatikana huku au ukanda huu. PIA anaweza kuweka mkataba nasi kwa ajili ya Uwakala wa bidhaa au huduma yake ambayo hajaifikisha/haipo mbeya na angetaka kupanua soko lake katika ukanda huu. Kumbuka hatutafanya kwa kubabaisha, hii ni ofisi yenye usajili na leseni halali; kwa mda wa miaka 2 OFISI imekuwepo maeneo ya maghorofani karibu na chuo kikuu mzumbe na sasa tuko kuhamishia maeno ya uwanja wa mpira sokoine mkabala na NBC bank...mjini.....tutatoa maelekezo mara tukikamilisha uhamaji...wasiliana nasi kwa utekelezaji wa masuala mbalimbali.
Tembelea blog yetu: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
Tembelea blog yetu: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED