Out of my league!

Gaga naomba nitofautiane na wewe kidogo...Nna kamsemo kangu kanasema "IF SOMEONE DOES YOU WRONG TAKE IT ON THEM NOT ON SOMEONE ELSE".Kwa hiyo kama mtu sijui kawa cheated au mtu mwingine kamboa huko hatakiwi wala haistahili kumwangushia hasira mtu ambae hajahusika!Nyumbani kwako mnunie mumeo kwa kukukasirisha ukitoka nje cheka na marafiki zako au atleast kua mpole tu badala ya kuwapa adhabu wasiyo stahili!Sio haki kukosewa na mtu fulani alafu umwadhibu mwingine!
 
hehehe wenzio wote walioweka bifu na mimi wamekufa maskini. shauri yako lol

Kufa ni kufa tu whether maskini au tajiri umekufa.......na kila mtu atakufa tofauti ni ya wakati tu........alikufa princess diana na utajiri wake mi maskini kufa kuna shida gani???:popcorn:
 
Yaani mimi nishakusoma Comrade, yaani nikitaka bifu na wewe najikumbushia hii " . . .WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.""

:drama::horn:
 
Kufa ni kufa tu whether maskini au tajiri umekufa.......na kila mtu atakufa tofauti ni ya wakati tu........alikufa princess diana na utajiri wake mi maskini kufa kuna shida gani???:popcorn:
good move, thats y whenever i force my own self to hate u all i get is opposite and more of that opposite. damn! klorokwini damn me!

bek to ze topik.
 
Sipiyu(CPU) uliyosema ni sawa kama tungekua tunaongelea jinsi ya kuchukulia na kudeal na hizo dharau..swala ni kwanini inatokea!Sidhani kama mtu akinisalimia nikaanza kumwangalia juu chini kwa kumbeza au kumjibu vibaya nakuwa nimedhamiria kumchallenge!Hiyo ni dharau tu isiyo na faida hata kwangu..ntaishia tu kuonekana wa ajabu!

Ni mapozi tu, Mdada anajipa valyuu ili ukimkomalia ujue yeye matawi sana, Kuna mshikaji wangu alinisimulia amepata demu mmoja kwa mbinde sana(maneno machafu nk). jamaa alikomaa sana sababu sometimes we prefer 'the hard o get' Mwisho wasiku ilikuwa vichekesho, sina hakika kama yule dada alimaliza std seven, kuongea anajitahidi sana kuchanganya kiswanglish kama mtoto wa accademia. So wengine wanakua na rugha chafu sababu hawajiamini..
 
Gaga naomba nitofautiane na wewe kidogo...Nna kamsemo kangu kanasema "IF SOMEONE DOES YOU WRONG TAKE IT ON THEM NOT ON SOMEONE ELSE".Kwa hiyo kama mtu sijui kawa cheated au mtu mwingine kamboa huko hatakiwi wala haistahili kumwangushia hasira mtu ambae hajahusika!Nyumbani kwako mnunie mumeo kwa kukukasirisha ukitoka nje cheka na marafiki zako au atleast kua mpole tu badala ya kuwapa adhabu wasiyo stahili!Sio haki kukosewa na mtu fulani alafu umwadhibu mwingine!
I concur.
 
Kabisa kaka, wadada especially wanaojifanya high maintenance ndio zao hizo.

hicho ndicho kigezo wanachotumia Lizzy...

Mdada atajipandisha na kujishusha kisha anampandisha na kumshusha mkaka na kufikia uamuzi kuwa ..haya ni maji marefu huyawezi!
Watu au wanawake kama hawa mara nyingi ukichunguza backgrounds zao utakuta wametoka kwenye umaskini wa kutupwa!

Unakumbuka wimbo wa Prof.J..Zali la mentali? J alipondwa na mdada wa uswazi choka mbaya...akaja kupendwa na nani??
 
i totaly agree with you . . . and these pipo ARE NEVER THINKING TO TRULY LOVE in their remaining life, and if they come do so, time will tell them ITS OVER NOW
 
Gaga naomba nitofautiane na wewe kidogo...Nna kamsemo kangu kanasema "IF SOMEONE DOES YOU WRONG TAKE IT ON THEM NOT ON SOMEONE ELSE".Kwa hiyo kama mtu sijui kawa cheated au mtu mwingine kamboa huko hatakiwi wala haistahili kumwangushia hasira mtu ambae hajahusika!Nyumbani kwako mnunie mumeo kwa kukukasirisha ukitoka nje cheka na marafiki zako au atleast kua mpole tu badala ya kuwapa adhabu wasiyo stahili!Sio haki kukosewa na mtu fulani alafu umwadhibu mwingine!

Haitakiwi kuwakasirikia wengine ila katika hali halisi ndio inakuwaga hivyo lizzy. Leo mtu awe amekasirishwa na mumewe au na boyfriend wake kwa kitu kikubwa sana akienda out na marafiki zake siku hiyohiyo hawezi kuwa normal atajikuta tu ana majibu mafupimafupi saa ingine hasikii hata kinachoongelewa.Kwa hiyo haitakiwi kumalizia hasira kwa mtu mwingina ila ile huwa inatokea tu na huwezi kuikwepa. imagine una mawazo kiasi hicho anatokea mtu anaanza kukutongoza.
 
Gaga kweli mtu anaweza kua mbali kimawazo...kimya kuliko kawaida n.k ila inapotokea unamshambulia mtu mwingine bila kosa inakua sio vizuri!
 
Sasa inakuwaje kama kweli mtu yuko out of you league na anaona ni bora akupunguzie mihangaiko? Maana siyo kila milima inakwewa!
 
Ukishaona mtu anasema you are in my league au siendani na wewe... ujue ana inferiority complex au tu ni mshamba; kila mtu anaendana na kila mtu akiamua

respect ya kutosha kwako mkubwa.i second this!
 
Back
Top Bottom