Ye aendelee kutwanga viporo tu,mambo ya kitaalam aachane nayo.Katibu mkuu wa chama anasema tumepigana vita nyingi hivyo tusihofu!
Hivi tumepigana kuliko Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Indeed we are very rich. Donor country.Acha uongo we jamaa,mambo ya hand to mouth type yanatoka wapi?View attachment 1405388
Sent using Jamii Forums mobile app
Enhee! Wacha wee,kwa hiyo anajionyesha anajua kiingereza. Jenga hoja,jibu hoja mkuu. Acha character assassination.Huna lolote utopolo Wewe zaidi ya kutaka kujionyesha na wewe unajua kiingereza.
😂😂 got mine, hold yours.
kwa takwimu hizi na uwezo wa nchi zetu za africa hasa jangwa la sahara kwa mtazamo wangu naona MASSACRE kubwa itatokea maana uchumi wa hizi nchi ni mdogo pia utaalamu na vifaa ni mdogo sisi hali naona itakuwa mbaya zaidi kuliko hata hizo nchi za Dunia ya kwanzaAngalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.
Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu
🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases
🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases
🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases
🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases
🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases
🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases
South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases
.
Katibu mkuu wa chama anasema tumepigana vita nyingi hivyo tusihofu!
Hivi tumepigana kuliko Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia sishauri kugawa dawa zozote kwenye kaya. Corona ni novel disease, bado hatuujui huu ugonjwa vizuri. Tafiti ni chache.We had an ample time to take crucial measures on Corona virus but our leaders kept on dragging their feet.
One key issue where Magufuli's government messed up, is a refusal to shut down borders allowing the infected to come in
Even up to the moment, foreigners are still coming in and the government is deluding itself thinking that the 14 days quarantine is enough. Let me tell you one thing even a notion of quarantining an infected person inside your own borders is still risky! He can still accidentally pass a virus to someone who he can come in contact with(such as room Cleaners, luggage senders, you name it).
The other thing is Corona virus has proven to be very elusive, you can test a person multiple times and find him negative while he is positive.
What about our testing capacity, can we effectively test all foreigners who come in here?
Apart from that, we made a huge mistake discouraging face masks while it is a testimony from countries which had a battle with virus earlier confirming that wearing masks was a game changer in this struggle.
The government should now take drastic measures to stop unnecessary congregations, Stop vijiwe vya kahawa, stop vikao vya harusi, sherehe
If we must allow people to enter prayer houses let everyone who go in wear mask otherwise should not be allowed to go in
Let people who use public transport wear masks otherwise should not be let in
Distribute Chloroquine to every household and give instructions how to use pills once a person have symptons of Corona. This is important because no enough hospitals or medical staff to attend everyone.
We hardly have only Three days up to a week to act, beyond that we are in big big trouble.
Statistics are not in our favor, we have seen countries which recorded very few cases in their early days of outbreak BUT a month later cases are in tens of thousands. Tanzania is not an Island, Stubbornness of our Leaders will cost us dearly.
Of course, haiwezekani. Hakuna hizo resources (trained staff and drugs),tafiti wala WHO guidelines.Distribute Chloroquine to every household?
Hapo, wewe na OP hamjafikiria kabisa.
Kwenye nchi ya watu zaida ya millioni 50.ugawe dawa kila mji.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hatua hii ya BOT, naamini Sasa Magufuli naye Ameelewa COVID-19 is serious, tujiandae kwa Curfew/lockdown - JamiiForumsAngalia hizi takwimu uone jinsi ndani ya mwezi mmoja hali inavyoweza kuwa mbaya.
Yaani ndani ya mwezi au wiki chache hali inaweza kutoka kwenye makumi hadi makumi elfu
🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases
🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases
🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases
🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases
🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases
🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases
South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases
.
Hao katika huo mkutano hawafiki hata asilimia moja ya watanzania.Acha uongo we jamaa,mambo ya hand to mouth type yanatoka wapi?View attachment 1405388
Sent using Jamii Forums mobile app
Naandika nafuta, naandika tena nafuta...sijui kama safari hii nitafuta au itabaki. Kama ikibaki naomba kusema yafuatayo...kwa miaka sasa inakaribia 50 tuna chama tawala, CCM. Katika kipindi chote hicho tumepitia mengi kama Watanzania...mengi ambayo kwa akili ya kawaida, binadamu walio wengi hawangevumilia isipokuwa sisi tu, Watanzania! Je tuna laana?
Nimeshindwa kuendelea...machozi yananitoka! Labda nitaendelea nikija kutulia.
Nani kakwambia tunazungumzia lockdown hapa?ukisoma comments unaboreka!! hivi wajameni hamchoki kuandika kushinikiza lockdown msiyoijua? wengine pangu pakavu tuoneeni huruma, najua kuna watu mna maslahi yenu kisiasa kiuchumi na kijamii kwa lockdown basi si myataje tu badala ya kuzunguka zunguka daily na nyuzi kibao! kama ni Corona kusambaa mnavyotaka nyie tayari tungekuwa sote tumekufa! ugonjwa ulianza Dec 2019 huu ni mwezi wa tano sasa ndo tuna 19 cases minus waliopona wakati US tayari ina wagonjwa laki mbili kasoro kiduchu!! ndugu wapenda lockdown si mhamie Uganda na familia zenu mkafungiwe wote mnaogopa kufa kwa corona? mmeambiwa msali ubishi umewajaa! nzige walipotea njia hawakuja, kimbunga kikapiga huko na huko hakikuja na Corona pia itadunda inshaallah!
total lockdown is a source of big politically influenced chaos na yaweza kuzalisha balaa zingine kibao, lockdown ikianza yawezekana baadhi ya raia wataanza kupimana ubavu na wajeda na manjagu! nadhani kuna watu wanataka chaos wapitie humo humo wanufaike! tuwapuuze!!
ukisoma comments unaboreka!! hivi wajameni hamchoki kuandika kushinikiza lockdown msiyoijua? wengine pangu pakavu tuoneeni huruma, najua kuna watu mna maslahi yenu kisiasa kiuchumi na kijamii kwa lockdown basi si myataje tu badala ya kuzunguka zunguka daily na nyuzi kibao! kama ni Corona kusambaa mnavyotaka nyie tayari tungekuwa sote tumekufa! ugonjwa ulianza Dec 2019 huu ni mwezi wa tano sasa ndo tuna 19 cases minus waliopona wakati US tayari ina wagonjwa laki mbili kasoro kiduchu!! ndugu wapenda lockdown si mhamie Uganda na familia zenu mkafungiwe wote mnaogopa kufa kwa corona? mmeambiwa msali ubishi umewajaa! nzige walipotea njia hawakuja, kimbunga kikapiga huko na huko hakikuja na Corona pia itadunda inshaallah!
total lockdown is a source of big politically influenced chaos na yaweza kuzalisha balaa zingine kibao, lockdown ikianza yawezekana baadhi ya raia wataanza kupimana ubavu na wajeda na manjagu! nadhani kuna watu wanataka chaos wapitie humo humo wanufaike! tuwapuuze!!
Distribute Chloroquine to every household?
Hapo, wewe na OP hamjafikiria kabisa.
Kwenye nchi ya watu zaida ya millioni 50.ugawe dawa kila mji.?
Sent using Jamii Forums mobile app