Our humble extended family

I can see Boflo at the far right hand side of the photo, he looks handsome!
 
Last edited by a moderator:
MadameX second from right picking her nose. Very cure as usual!
 
I can recognize members of Magambazi , look carefully do you see Wasira.
 


Zaeni nakuongezeka, Mkaijaze nchi, alafu utasikia family planning sijui takataka gani.
 
Hii picha inaonyesha kwa uhalisia level ya umaskini maana wote hao hata yebo yebo mguuni hawana
Nguo hazijaona sabuni wala maji siku kadhaa na hata kuoga kwao ni issue
bado matumbo hayo sidhani kama ni ya kushiba kuna tatizo somewhere
 
Duh aliyeshika fimbo anafanana na PakaJimmy ha ha ha ha ha.

 
Last edited by a moderator:


huyu wa kulia mwenye sketi ya blue mbona kama ni Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Preta mbona una aibu hivyo aise naona unaangalia mikono yako tuu hapo (wa tatu kulia) Erickb52 naona kakunja sura kama amemuona Amyner vile (wa pili kulia) Arushaone wa kwanza kushoto hapo kakasirika mbaya baada ya kumuona erick52 kanywa uji wake
 
Last edited by a moderator:
Vile vile namuona Preta kabebwa na Blackwomani mstari wa nyuma kulia. Boflo nae hapo mbele kushoto aligoma kuvaa pensi siku nying sana. Mpaka leo hujabadilika tu mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…