Pichani utaona watu tuliowatuma bungeni wanachohangaika nacho
VS
Chini kulia hapo unaona hospital yetu ya taifa ikiwa haina umeme kwa masaa 18 na wabunge wamekazana kuendekeza ushabiki wa kisiasa
kwa nchi ambayo hospital yake ya taifa INAWEZA kukosa umeme kwa karibu siku nzima tulitakiwa tuwe serious sana na matatizo yetu kuliko dra