Pole kwa marafiki na Jamii and the people of United Republic of Tanzania
Aisee ata mm kama mkenya nnajiunga na wenzangu kuwapa pole watz wote kwa ajali hiyo, babu yangu ni mnyaturu wa singida hiyo its truly a sad day in east africa, my condolences to the families and country at large.
Mzaa baba, alitokea kiomboi kule Iramba na alikuwa baadhi ya jamaa waliopinga vikali sera za mwalimu enzi za ujamaa...baadaye ilibidi watorokee nchi jirani walipoaza kupotezwa, na kupewa uraia huko, hiyo mm na my sis tumezaliwa kenyaBabu yako mzaa nani ni Mnyaturu? Njoo inbox kidogo.
Mbona bana hungeonyesha hiyo picha, mimi sipendi hasa kuona watoto wadogo wakiwa wamepoteza maisha yao, sijui nini tena nimekuja kwenye uzi huu. Hebu toa hiyo picha tafadhaliDuh! nimeiona kwenye Whatsup nusra machozi yanitoke kuona miili ya watoto imeanikwa kote, binafsi kama mzazi imeniuma sana, jameni poleni sana. Mungu awape wepesi wote waliofikwa na janga hili, wazazi, ndugu na marafiki na Watanzania wote.
View attachment 505395
hii picha ndugu itoe kweli...siezi stahimili kabisaDuh! nimeiona kwenye Whatsup nusra machozi yanitoke kuona miili ya watoto imeanikwa kote, binafsi kama mzazi imeniuma sana, jameni poleni sana. Mungu awape wepesi wote waliofikwa na janga hili, wazazi, ndugu na marafiki na Watanzania wote.
View attachment 505395