Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
- Thread starter
- #21
Vipi kuhusu Daudi Balali?
I believe this guy is alive hiding somewhere in Carribean Islands.....................................
Vipi kuhusu Daudi Balali?
Vipi kuhusu Horace Kolimba?
Hakuna kipya, Biwott hatafanywa lolote. Imefanyika Tanzania pia wengi tu wameuawa,
Hata Tanzania yametendeka kama haya. Kitu cha kujipa moyo ni kuwa "maiti haiwezi kufichwa kabatini", nakusudia kwenye makabrasha ya wahalifu, lazima siku moja yatatoka nje. Mungu awarehemu Sokoine, Kolimba, Malima, Wangwe......Sehemu haitoshi kutaja orodha yote, hasa ya Zanzibar katika miaka ya 60 na 70.