Hahahahahahahaha aisee jina lako limenikumbusha mbali sana. Yaani huyu jamaa kwenye kipindi chake tulikuwa tunacheka mpaka machozi yanabubujika LOL! Yaani we acha tu hahahahahahahahaha Othorong'ong'o na Mama Kayai LOL! Karibu sana jamvini mkuu. Yaani wale jamaa walivyokuwa wanachekesha na kipindi chao kuwa na umaarufu mkubwa wangekuwa majuu wangekuwa mamilionea wakubwa sana. Pata kinywaji ukipendacho hapo kwenye fridge pembeni. Kuna togwa pia na chang'aa.
ooh! ni yule othorong'ong'o mwana wa kilonzo supa sleki,amka twende yuko wapi,maliwasa,sebuwooo,ojwang na mama kayaii,ndani ya vitimbi kiosk....ripa mere.......pilau(peace,love and unity).KARIBU SANA ila huku mate inabidi uzingatie kanuni.