GE2025 Othman Masoud: Tutaiondoa CCM katika dola

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mgombea Urais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud Othman amesema chama hicho kimedhamiria kuiondoa CCM madarakani ili kuwakomboa watanzania na kadhia ya umaskini.

Akizungumza na wananchi wa Mwandoya Jimbo la Kisesa Mkoani Simiyu wakati wa mapokezi ya Luhaga Mpina, amesisitiza kuwa serikali iliyopo madarakani imeshindwa kusimamia raslimali za Taifa.

“Inawezekana kupambana na Chama cha Mapinduzi na tukakiondoa katika kushika dola, nchi hii ni tajiri kuliko nchi yoyote ya Afrika lakini ndio nchi ambayo ina maskini wanaotambuliwa kimataifa”

Miaka yote ya uchaguzi marehemu maalim seif alikuwa anashinda uchaguzi na hakuwahi kutangazwa sembuse huyu jamaa!!!
Hizi sinema zinatufanya wananchi tuone kuwa nyie ni CCM B
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mgombea Urais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud Othman amesema chama hicho kimedhamiria kuiondoa CCM madarakani ili kuwakomboa watanzania na kadhia ya umaskini.

Akizungumza na wananchi wa Mwandoya Jimbo la Kisesa Mkoani Simiyu wakati wa mapokezi ya Luhaga Mpina, amesisitiza kuwa serikali iliyopo madarakani imeshindwa kusimamia raslimali za Taifa.

“Inawezekana kupambana na Chama cha Mapinduzi na tukakiondoa katika kushika dola, nchi hii ni tajiri kuliko nchi yoyote ya Afrika lakini ndio nchi ambayo ina maskini wanaotambuliwa kimataifa”

YEYEY YUKO KWENYE POUNDS??

WANASIASA BANAQQ HAHAHAAA

UKO KWENYE DOLA UNATAKA KUONDOA DOLA
 
Back
Top Bottom