Ahsante kiongoziScale 6.1 ni 1220000
Noma sana....serikali mpya inaweza kumbadilisha huyo mtu..Kama alivyosema mdau hapo juu ni 6.1 plus incentive.
Lakin kwa sasa nafikiri taasisi ambayo mkurugenzi wake anawanyanyasa wafanyakazi wake osha is number one.
Yule amekuwa kama Mungu MTU.
Kauli mbiu yake usipokuwa upande wake huifaidi Osha.
Hakuna room yawafanyakazi kueleza madukuduku yao