GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,690
- 109,123
Dauda teyari yupo kwenye system and his future is bright uko mbele,alivyoona wanamtoa kisa cha uzoefu, Akamua kujoin kundini akamsupport karia.Huyu hata hajarudisha form kashanza
Kashaanza kuzunguka kwenye media
Walah tff wale hawamuachi salama
Watamkata huyu
Amuulize dauda mara ngapi amenyimwa
Nafasi pale tff
Tafadhali aambiwe upesi hizi ' Interviews ' zake alizozianza Jana ( baada ya Kuchukua Fomu ) na hii ya Leo ya Wasafi FM zitamponza. Aachane nazo mara moja kwa sasa.
Nakubaliana nawe 100% kwa hili Mkuu.Dauda teyari yupo kwenye system and his future is bright uko mbele,alivyoona wanamtoa kisa cha uzoefu,,
Akamua kujoin kundini akamsupport karia.
Akagombea drfa na
Ssaiv ni mjumbe wa mkutano mkuu tff kutoka chama cha soka mkoa wa dar (drfa) mwaka wa nne huu.
So next election anaweza kugombea nafasi yeyote kubwa na ana support kubwa mnoo ndani ya system.
Tegemea chchte karia akimaliza muda wake.
Taifa la tweeter na instagramUyo jamaa ni usalama wa Taifa
Kwa hiyo?Uyo jamaa ni usalama wa Taifa
Aisee!Kwanini umemuamsha huyo ndezi na ile media yao kila siku kuiponda Simba, ungemuacha wamchinjilie mbali halafu aje kusema kaonewa.
Mkuu hiki kitu nimekua nakiskia sanaaa,kama jamaa ni tiss yule.Uyo jamaa ni usalama wa Taifa
Hivi ni nani anawadanganya kiasi hiki?Uyo jamaa ni usalama wa Taifa
Mkuu hiki anachoongea jamaa ni 80 perce true..Kwa hiyo?
Mkuu mjini hapa mambo ni mengi sana kama unavyoskia tetesi simba wamemsajili michael phiri wa zanaco,na inatokea kweli.Hivi ni nani anawadanganya kiasi hiki?
Mkuu chaguzi za mipira zna mambo mengi sana.Mwamba huna jema kwahy mtu asijitangaze au unazani wote wanaijiua E FM Tabora kwanza Oscar kwanza mengine badae
Bumbuli hana ata sifa ya kutokea Tabora labda huko Usoke ndio wanatoka wanywezi wa Kariba yake, jamaa Mshamba Mshamba Sana, Yani miaka yote aliyokuwa Yanga ameshindwa kujibrand kabisa anaacha kina Nugaz miaka 2 Tu teyari wametoboa kisa Yanga ye yupo Tu, mtabora gani kazubaa zubaa vile hajurikani ni kijana au mzeeKama kuna magaidi mnataka kulipua Tanzania Tz Tabora iacheni ndio kuna familia yangu yote hata oscar ni mwana Tabora mwenzangu Bumbuli ni mwana Tabora mwenzangu kutoka usoke hata zaka zakaz ni mwana Tabora hahah