Oscar Oscar acha hizo 'Interviews' katika Media zitakuponza kuwa unafanya 'Pre-Campaign' na utalimwa na Kamati ya Uchaguzi

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
13,245
2,000
Huyu hata hajarudisha form kashanza kashaanza kuzunguka kwenye media Walah TFF wale hawamuachi salama
Watamkata huyu.

Amuulize dauda mara ngapi amenyimwa.

Nafasi pale TFF.
 

ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
677
1,000
Huyu hata hajarudisha form kashanza
Kashaanza kuzunguka kwenye media
Walah tff wale hawamuachi salama
Watamkata huyu

Amuulize dauda mara ngapi amenyimwa
Nafasi pale tff
Dauda teyari yupo kwenye system and his future is bright uko mbele,alivyoona wanamtoa kisa cha uzoefu, Akamua kujoin kundini akamsupport karia.

Akagombea drfa na sasa hivi ni mjumbe wa mkutano mkuu tff kutoka chama cha soka mkoa wa dar (drfa) mwaka wa nne huu.
So next election anaweza kugombea nafasi yeyote kubwa na ana support kubwa mnoo ndani ya system.

Tegemea chchte karia akimaliza muda wake.
 

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,478
2,000
Dauda teyari yupo kwenye system and his future is bright uko mbele,alivyoona wanamtoa kisa cha uzoefu,,
Akamua kujoin kundini akamsupport karia.
Akagombea drfa na
Ssaiv ni mjumbe wa mkutano mkuu tff kutoka chama cha soka mkoa wa dar (drfa) mwaka wa nne huu.
So next election anaweza kugombea nafasi yeyote kubwa na ana support kubwa mnoo ndani ya system.
Tegemea chchte karia akimaliza muda wake.
Nakubaliana nawe 100% kwa hili Mkuu.
 

ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
677
1,000
Hivi ni nani anawadanganya kiasi hiki?
Mkuu mjini hapa mambo ni mengi sana kama unavyoskia tetesi simba wamemsajili michael phiri wa zanaco,na inatokea kweli.
Ndo hivo hivo na haya mengne yabebe kama yalivyo alaf pita vile t mkuu..

Hakuna sehem hawa watu wamejaa kama huku kwenye mipira hasa kibongo bongo wapo wengi sana.
 

mtaa umetulea

JF-Expert Member
Nov 17, 2020
1,680
2,000
Mwamba huna jema kwahy mtu asijitangaze au unazani wote wanaijiua E FM Tabora kwanza Oscar kwanza mengine badae
 

mtaa umetulea

JF-Expert Member
Nov 17, 2020
1,680
2,000
Kama kuna magaidi mnataka kulipua Tanzania Tz Tabora iacheni ndio kuna familia yangu yote hata oscar ni mwana Tabora mwenzangu Bumbuli ni mwana Tabora mwenzangu kutoka usoke hata zaka zakaz ni mwana Tabora hahah
 

ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
677
1,000
Mwamba huna jema kwahy mtu asijitangaze au unazani wote wanaijiua E FM Tabora kwanza Oscar kwanza mengine badae
Mkuu chaguzi za mipira zna mambo mengi sana.
Hakuna uchaguzi pale uchaguz ulishaisha.
Karia atashnda kwa zaid ya aslimia 90.
Wapiga kura hawazidi 120,na hao wote mali ya karia kwa sasa.
Ukionaga zile figisu za uchaguzi mikoani ni watu wanatengeneza wapiga kura wao.
Hapo karia teyari anajua kura zake ngapi huwez kwenda ukamtoe.
Always uchaguzi wa haki unakuaga ni ule ambao rais alie madarakani kamaliza muda hagombei tena..
Ila kumtoa rais wa mpira anaendelea hio ni ndoto ya sa nane mchana.
 

Anigrain

JF-Expert Member
Nov 15, 2020
349
1,000
Kama kuna magaidi mnataka kulipua Tanzania Tz Tabora iacheni ndio kuna familia yangu yote hata oscar ni mwana Tabora mwenzangu Bumbuli ni mwana Tabora mwenzangu kutoka usoke hata zaka zakaz ni mwana Tabora hahah
Bumbuli hana ata sifa ya kutokea Tabora labda huko Usoke ndio wanatoka wanywezi wa Kariba yake, jamaa Mshamba Mshamba Sana, Yani miaka yote aliyokuwa Yanga ameshindwa kujibrand kabisa anaacha kina Nugaz miaka 2 Tu teyari wametoboa kisa Yanga ye yupo Tu, mtabora gani kazubaa zubaa vile hajurikani ni kijana au mzee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom