Osama bin Laden,yupo hai au amekufa?

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Haina ubishi kuwa kundi la kigaidi la al-qaeda bado lipo na huenda
labda linazidi kujihimalisha siku hadi siku. Lakini je, bossi wao
Osama bin Ladeni kwa sasa yuko wapi? mbona yu kimya sana?
amekufa au yu hai? au afya yake kwa sasa ni mgogoro?

Jamani mm si kibaraka wa CIA wala FBI, ila najua JF inavichwa vyenye
uelewa mkubwa wa mambo na wanaweza kutumwagia majibu ya kweli
hapa jamvini kwa faida ya wote. - Nawasilisha
 
Mimi nadhani alishafariki Osama. Ni kwamba wafuasi wake na wale wanaomuunga mkono wanaishi kwa kivuli chake na hawataki kusema ukweli. Marekani nao labda wanatumia hilo kwa maslahi yao kuwaondoa wapinzani wao hizo mashariki ya kati. Kuna madai pia kuwa Osama ni wakala wa kundi la Mafia, kundi lilioanzishwa na Papa wa kanisa katoliki karne za nyuma ambalo linatawala ulimwengu kwa mlango wa nyuma. Wanamaagent wao kila serikali kubwa duniani au hata marais waliopo madarakani. Kundi kama Freemasons na Jesuit ya katoliki ni moja ya genge za kundi hilo.
Kwamba Osama alikufa itakuwa kweli manake angekuwa ameshajionyesha kwenye video watu wajue yupo lakini kinachotokea ni Sauti tu isiyoonyesha ukweli kamili. Tangu kubomolewa kwa mapango ya Torabora alikokuwa anajificha huko Afghanistan haijaonekana tena video yake. Naamini amekufa kinachoendelea ni mchezo wa kuigiza ili kuwafyeka waarabu walioingia mkenge kwa Geresha ya Osama Bin Laden.
Kumbuka mbinu zote za kivita alifundishwa na hao hao Mafia.
 
Nimekupata mkuu na nimekuelewa. Lakini kama ni kweli huyu jamaa kafa,kwanini wafuasi wake wasiitangazie dunia? Na kisha
wakamteua mtu mwingine?
 
The guy is still alive. He is behind the the move which is happening now in Arab world.
 
this is what people do not know,watu wanafikiri Gadaffi anaondolewa kwa kukaa madarakani muda mrefu,wameamua kuondoa moderate muslim leaders wote,Osama is alive,and is working to make sure all Arab countries follow islamic principles and rules and completely transform this countries into islamic countries which they are not though they have majority of muslims.
 
this is what people do not know,watu wanafikiri Gadaffi anaondolewa kwa kukaa madarakani muda mrefu,wameamua kuondoa moderate muslim leaders wote,Osama is alive,and is working to make sure all Arab countries follow islamic principles and rules and completely transform this countries into islamic countries which they are not though they have majority of
muslims.
Ok i agree with u,but no body knows if the guy is stil alive or died. Pia ni nchi gani hizo ambazo wameamua kuwaondoa moderate muslim
leaders wote?
 
Back
Top Bottom