Barya
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 950
- 1,190
- Thread starter
- #41
Kwan unapokosea baba yako hakuiti mpumbavu alafu akakurekebisha?? Ndicho alifanya huyo Mzee, pia ana mazuri mengi haimaanish kuwa na mazuri atakosa mabayaMtu anayeweza Kuwait's wengine malofa na wapumbavu unawezaje kumuweka kwenye wazee wa busara? Msifanye utani na neno "Busara".
Si bora hata ungetaja mzee Jangala!