kama umeyapata tafadhali nami unitumie ktk private message
Mwambie ayaweke hapa kama anayo hayo majina sio sirikama umeyapata tafadhali nami unitumie ktk private message
nirushie ya tanga watsap. 0718900648Nitumie kupitia email: mudymohd@yahoo.com
Ninayo ya Tanga ila nmeshindwa kuweka
Wanatoka vizuri tu.. Kuna baadhi ya TPA staff waliitwa makao makuu wapeleke vyeti vyao NECTA. Wengi wao ni wale wenye vyeti vyao halisi lakini walibadili matokeo, hao wanasepa pia. [emoji41] [emoji41]Cha kushangaza huku Bandarini kwetu watu wanajitapa kuwa hawatolewi eti wanajigamba rais kawasamehe mbona hakuna haki wakati wengne wametolewa wao wakina nani?