orodha ya watu waliosoma udsm na sifa zao

kuhusu ufanisi, hapo hujui unaloongea, wahitimu wa udsm wana extra confidence kuliko wale wa mzumbe saut na tumaini ambao mara zote huwa wanajifeel infirior mno hata makazini wanataka mudsm afanye kwanza wamwangalie ndo wao wafuate.nyie vyuo vingine naomba muwe na adabu udsm ni baba yenu hamuwezi kuongea

Uongo....
Kuna kilaza nipo nae ofisini ni kimeo hatari halafu anajifanya anajuuuuua matokeo yake anaharibu kazi badala ya kuomba aelekezwe asipoelewa anajifanya yupo busy kumbe anaharibu na kutuongezea majukumu wengine
 
Mkuu, nakukubalia kwa asilimia fulani na kukukatalia kwa asilimia. Hata iweje, UDSM ndo chuo baba Tanzania, kwa sasa! Kwa lugha nyepesi, ubora wa chuo unapimwa na Idadi ya Pofs, PhDs, na walimu wengi wenye Masters Level na Ukongwe wao katika fani ya kufundisha. Anayebisha kwa hili hana jipya.

Kwa upande mwingine, si kweli kwamba wanafunzi wa waliohitim vyuo vingine ni vilaza. Si wote, na ujue kuwa kuna watu wengi tu wamesoma UDSM lakini wako shallow. Si kila aliyesoma UDSM ni genius. Kwa sasa, unaweza ukawa na Div 1.3 na ukapelekwa UDOM au Mzumbe au IFM! Kwa hiyo dhana ya kuwa UDSM ni kila kitu kwa sasa siyo sahihi! Kwa tulioingia chuo miaka ya 2000 kurudi nyuma, na one zetu tuliende UDSM straight kwa kuwa hakukuwa na mbadala, waliofeli ndo walienda huko IFM, MU, CBE na kwingineko.

Pia, elewa kuwa, UDSM haikuwa mbele na kinara kwa fani zote. Sheria ilikuwa na imetawaliwa na UDSM hii haina ubishi. Kozi za Uhasibu zilitawaliwa sana na IDM na IFM, ndo maana ukiangalia kwa kipindi kile Technical Guys wa NBAA walikuwa wanatoka IFM/IDM-Mzumbe na waliokuwa wamesoma ACCA-UK na Kenya.

Kozi za engineering, kwa dhana ya Utawala, UDSM wako juu sana, lakini kwa dhana ya utendaji, Dar Tech, Mbeya Tech, Arusha Tech walikuwa vinara sana, hata watu amabao walitoka Form Four kwenda vyuo hivi na kupiga FTC na akapata Grade B and above, then kujiunga UDSM walikuwa majembe ya kufa mtu!

Hii topic ni pana sana, lakini ukweli bado ni ule ule kuwa, UDSM is the best University so far in Tanzania!

Umeikosa LIKE yangu natumia Simu
ipokee kimoyomoyo
 
Okay unafungua Nyuzi za ajabu za kuponda UD, una comment same cr*p za kuponda UD day 2 day and wat? You expected no one will notice! We jamaa nmekumezea long fck, m2 anaanzisha post ya maendeleo unaingia kujambia na ujinga wako wa UD! Embu leo 2ambie hicho chuo perfect kwako ni kipi!! Or labda we unahic nn kifanyike badala ya kubwatuka tu huku!!
Kumbe mnajuana
 
Mnapiga kelele tu, UDSM ndio chuo kibora Tanzania itabaki kuwa hivyo hata mkipiga kelele.
 
We msela tangu udsm wakupge chini unaiandama sana!jilaumu mwenyewe kwa kuwa kilaza hadi ukashndwa kufaulu vzr form 6.pole sana.

Mlimani ilikua enzi zetu..vijana wasikuizi nyie wote wasanii.hakuna UDS wala UDO wote wale wale..Geographical location amigo...same same bro...Ukienda mabibo ndo vituko tu...na mmekua wizi sana wa mitihani na kufanya copy and paste kwenye Dissertation.
 
UD tumesoma watu wa aina mbili: vipanga sana na vilaza sana. Hakuna wa kati. Zaidi ya nusu ya wasomi wa nchi hii wamesoma UD...
 
Back
Top Bottom