Wale Wote wasifanya kazi wanachojua ni kushinda bar kukopa bia huku wakisubiri washkaji waje kuwalewesha,Mademu wote wanaopenda kuchuna alikuwa anakunywa pepsi ukifika anaagizia Savana!! pumbafu,,,Wambea wote na wanafiki bila kuwasahau Machangudoa,Na mwisho kabisa ni kwa wale wanaojijua kabisa wameathirika kwa Ukimwi lakini wanasambaza kwa makusudi.