Na walioachika kwa ajili ya JF je?
lakini sisi hatuachanieeeeeeeeee!!!!!!!!!
Preta lete ushuda hapa
ha haaaaa, rafiki huu ndo ushuhuda wako?
ha haaaaa, rafiki huu ndo ushuhuda wako?
hongera sana rafiki yangu, all the best na huyu uliyempata, lol!
karibu tutatangaziwa uteja hapa au tayari? mlongo wangu snowhite kaa tayaritayari na lijamanda, lol!
mlongo wangu ikifika Ijumaa tu ujue lazima dada mkubwa atapotea, itabidi uzoee tu mlongo wangu.am oll iaz!af mimi mith yu ujue dada mkubwa!oh
mlongo wangu ikifika Ijumaa tu ujue lazima dada mkubwa atapotea, itabidi uzoee tu mlongo wangu.
nilisikitika sana kumiss exclusive ya rafiki yangu Ciello , hapa nataka nitafute nafasi niutafute ule uzi nisome mwanzo mpaka mwisho..... na maswali yangu nitatupia tu hata kama imepita, lol!
ha haaaaa, rafiki huu ndo ushuhuda wako?
hongera sana rafiki yangu, all the best na huyu uliyempata, lol!
karibu tutatangaziwa uteja hapa au tayari? mlongo wangu snowhite kaa tayaritayari na lijamanda, lol!
mlongo wangu ikifika Ijumaa tu ujue lazima dada mkubwa atapotea, itabidi uzoee tu mlongo wangu.
nilisikitika sana kumiss exclusive ya rafiki yangu Ciello , hapa nataka nitafute nafasi niutafute ule uzi nisome mwanzo mpaka mwisho..... na maswali yangu nitatupia tu hata kama imepita, lol!
rafiki, nakodolea macho kwa nia njema tu........., si unajua tena marafiki ni vizuri tukajua yanayoendelea kwa rafiki zetu? mtu akijisajiri chama cha mateja lazima marafiki tujuzwe......Weye rafiki umekuwa mpelelezi siku hizi!? Naona umekodoa macho yako hayo for more than 15 hours waiting for BAK's answer lol! BAK is innocent until proven guilty...yatakushinda rafiki lol!
ha haaaaaaaaa, kwa hisani ya watu wa Frankfurt siyo? sawaHongereni sana rafiki FP mnahitaji kujipongeza kwa raha zenu lakini hakuna kulia. Mwambie Teja atafute bakora atakayeanza kuangusha mchozi tu basi bakora zitakuwa halali yake. Mie nipitishieni kigudulia cha ulanzi uliochanganywa na Johnnie Mtembezi. Kwa hisani ya watu wa jiji la Frankfurt na vitongoji vyake.