Naomba kupata orodha ya walimu bora waliowahi kuwika au bado wanawika katika somo la Mathematics A Level kwa shule zetu hapa Tanzania.
Naanza na Mwl Torger Onstad- Old Moshi Sec miaka ya 80.
Umenikumbusha mbali sana nilipomaliza f4 moja kwa moja nilianza kusoma Advanced Mathematics kule Mchikichini, Kariakoo na huyu jamaa ndiye aliyekuwa anatufundisha mnaingia saa 3 asubuhi mpaka saa 6.Mwalami A.K.A Mwalamsha
I think kwq sasa anavunja Doctorate degree ya Actuarial Science