Orodha ya wachungaji matajiri duniani

Orodha ya wachungaji matajiri duniani

Wapiga dili hao, wanachukua pesa za wajinga
 
Next Time unapoanzisha uzi ujipanga mkuu....we umegoogle tu bila hata kuangalia list ilivyopangwa ukatupia hapa....hizo ni namba za mwisho za Top Ten...huyo umemweka wa kwanza ni wa Mwisho kwenye Top Ten ya Richest Pastor....

1. Bishop David Oyedepo Net Worth 2016 – $150 Million
2. Bishop T.D. Jakes Net Worth 2016 – $147 Million
3. Chris Oyakhilome Net Worth 2016 – $50 Million
4. Benny Hinn Net Worth 2016 – $42 Million
5. E. A .Adeboye Net Worth 2016 – $39 Million
6. Creflo Dollar Net Worth 2016 – $27 Million
7. Kenneth Copeland Net Worth 2016 – $25 Million
8. Billy Graham Net Worth 2016 – $25 Million
9. T.B. Joshua Net Worth 2016 – $10 Million
10. Joseph Prince Net Worth 2016 – $5 Million

Mkuu unataka kuniambia Gwajima na mabodigadi wake wote wale hajafikisha hata hizo dola milion 5.1??? Hapana hebu nipe source yako kwanza.
 
Kama kawaida hatujala na kama tumekula hatujashiba.
Hawa ndio wanaokula kiulani mbele ya madhabahu yao kama ilivyoandikwa.
joseph.png

Joseph Prince

n.png

T.B Joshua

franklin.png

Franklin Graham
bill1.png

Billy Graham
kenneth.png

Kenneth Copeland...huyu pia ni Rubani wa Ndege.

Kina Nzee Upako..Mama Lwakatare,Kakobe,Mwingira,.....Nabii Frank(mpare)...Geodarvie, na yule anayejiita Bilionea bado hawasomeki ktk Ramani ya Dunia.
Mkuu kazi ya kuhubiri injili sio ya kiulaini hivyo unavyoifikira,jaribu kufuatilia historia zao mpaka hapo walipofikia ndio utajua kuwa ni kazi ngumu sana.
 
Kumcha Mungu kunalipa aisee. Hivi watu tu tunawaona wanavyojipendekeza kwa wakuu wa dunia hii ili kupata riziki zao si zaidi hao wamtumikiao Mungu aliyeziumba mbingu na nchi ambaye mali na dhahabu ni mali yake?. Ni hospital ipi inafungua au kutibu mtu mwenye mapepo?. Ni hospital ipi au gereza lipi linaweza badilisha maisha na mwenendo wa mtu?. Hakika hakuna. Wacha wale nawe ukiona vipi ingia kw3nye game kama unaona ni simple.
Mkuu, ufahamu wako uko vizuri, nimeupenda. Laiti kama idadi yenu ingekuwa kubwa kubwa kidogo tungeibadilisha Tanzania iachane na kuamini utajiri unapatikana kupitia viungo vya albino.
 
Mkuu kazi ya kuhubiri injili sio ya kiulaini hivyo unavyoifikira,jaribu kufuatilia historia zao mpaka hapo walipofikia ndio utajua kuwa ni kazi ngumu sana.
Mkuu,tafadhali elewa jambo.
Nimemjuzeni wanao kula kwa ulaini....mengine ni ya kwako.😵
 
Zilizochangwa za Bukoba zimekwenda wapi?. Alafu wacha kuzungumza bila data Mtumishi Mama Rwakatare kuwalipia wafungwa dhamana hulioni hilo?. Pia makanisani mwao wana huduma za masaidiano kuwasaidia wasiojiweza hili hutoliona kamwe maana kwqnza huamini katika Mungu.
Basi ungeandika baadhi yao, na sio wote..sifa ziende kwao wanaotimiza mapenzi ya Mungu kwa dhati bila hila.

Na usiniwekee maneno mdomoni, mimi naamini katika Mungu lakini siamini utapeli wa kuchangisha Watu kana kwamba Mungu huwa hatoi baraka bila kumlipa, lini Mungu ameteua wakala wa baraka zake?

Kama wasingekuwa wabinafsi basi wangehimiza watu kuchangia Wasiojiweza, Wagonjwa, Wazee badala ya wao kujilimbikizia mali mpaka kufanya kufuru, alafu uniambie Mungu anaunga mkono hayo?
 
Zilizochangwa za Bukoba zimekwenda wapi?. Alafu wacha kuzungumza bila data Mtumishi Mama Rwakatare kuwalipia wafungwa dhamana hulioni hilo?. Pia makanisani mwao wana huduma za masaidiano kuwasaidia wasiojiweza hili hutoliona kamwe maana kwqnza huamini katika Mungu.
Wakijikita kwenye kuhubiri, kuhimiza upendo, kutia moyo waliopoteza matumaini, kusisitiza kwenye kumuamini Mungu badala ya kulipiza kisasi....ambapo naamini wengi wao ndivyo hufanya na Mungu awabariki kwa hilo.

Ugomvi wangu ni hapo kwenye pesa tu...inawasababisha wanatoka kabisa kwenye misingi na kuwa kama Wafanya biashara...wanatamani utajiri wa kufuru ili hali Waumini wao wana dhiki.

...ugomvi wangu ni hapo tu a wala nisitafsiriwe vibaya....napenda mafundisho yao lakini sio tamaa yao ya mali na kudanganya ili wapate pesa zaidi.
 
Ni kweli kunawanao penda mapato ya aibu hiyo ipo. Ndio maana Biblia inasema juu yao wanaoanzia rohoni na kuishia mwilini. Kuna kuzoea madhabau aisee ni kitu kibaya sana. Pia kuna ulimbukeni wa pesa pindi zinapokuwa nyingi. Mungu awasaidie sana watumishi.

Sent from my TECNO 8H using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hapo kwenye "ulimbukeni wa pesa pindi zinapokuwa nyingi".Maana namjua mmoja wa hapa bongo nasikia anapiga kinywaji mara mojamoja.
 
Naunga mkono hapo kwenye "ulimbukeni wa pesa pindi zinapokuwa nyingi".Maana namjua mmoja wa hapa bongo nasikia anapiga kinywaji mara mojamoja.
Mtajeee......Kwa kifupi
Kimuingiacho ntu si najisi bali kimtokacho.
 
Naunga mkono hapo kwenye "ulimbukeni wa pesa pindi zinapokuwa nyingi".Maana namjua mmoja wa hapa bongo nasikia anapiga kinywaji mara mojamoja.
Aisee. Ndio hao Yesu atasema sikuwajua ninyi ondokeni kwangu watenda maovu. Na wengine atawaambia niliwalipa ujira wenu mlipojenga nyumba nzuri, kusomesha watoto shule nzuri n.k. ila kwa malipo Mungu ajambo na ni fundi maana hapa duniani ni mara mia na mwisho uzima wa milele sasa hapa kwenye uzima wa milele ndio kimbembe kwa watumishi wengi. Mtume Paulo aliliona mapema akasema ninapiga mbio ili niifike taji nisije ongoza wengi nami nikawa mtu wa kukataliwa. Hili watumishi wengi hawalioni wao wanaponda raha tu na kuangaikia viharibikavyo.
 
Vipi dogo Bashiri wa Malawi mbona simuoni??? Private jet zake tatu tiyari ni kama 200 million
 
Kama kawaida hatujala na kama tumekula hatujashiba.
Hawa ndio wanaokula kiulani mbele ya madhabahu yao kama ilivyoandikwa.
joseph.png

Joseph Prince

n.png

T.B Joshua

franklin.png

Franklin Graham
bill1.png

Billy Graham
kenneth.png

Kenneth Copeland...huyu pia ni Rubani wa Ndege.

Kina Nzee Upako..Mama Lwakatare,Kakobe,Mwingira,.....Nabii Frank(mpare)...Geodarvie, na yule anayejiita Bilionea bado hawasomeki ktk Ramani ya Dunia.
Hata hivyo nawaombea kwa Mungu wawe matajili wakubwa sana hizo hela walizonazo haziwatoshi.
Mimi wananibariki sana
 
Nasikia hata mama Lwakatare ni noma,shule zote za St. Mary's ni za kwake.
Mtu kama huyo anayemiliki mashule ya high classic tena mengi na ada ya bei kubwa siyo mwenziyo.
Ananiachaga hoi na lafudhi yake ya uswazi,anavyoongea utafikiri anakaa Kiburugwa au Uwanja wa Fisi.
 
Ndo maana kila mtu siku hizi anataka kuwa na kanisa lake, dah ulaji huu
 
Mkuu unataka kuniambia Gwajima na mabodigadi wake wote wale hajafikisha hata hizo dola milion 5.1??? Hapana hebu nipe source yako kwanza.
Ha ha ha Mkuu huenda amefika ila kwa sababu ya kukwepa kodi na mambo mengine hawezi weka wazi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom