Orodha ya wabunge walioenda Dubai

Kwa wabongo hawahawa ambao hudanganywa na wakadanganyika kwa kupewa "kapelo" tu sidhani kama wazo lako litatekelezeka. Waheshimiwa wana ukwasi wa kutosha kuwalaghai wapiga kura na watahadaika tu. We subiri, wote hao watarudi mjengoni 2025!
 
HAO NDIO WAZALENDO WA NCHI HII KWA SASA KITENDO CHA KURIDHIA HUO MKATABA LICHA YA WENYE NCHI KUPINGA NI UZALENDO CCM OYEE
 
HAO NDIO WAZALENDO WA NCHI HII KWA SASA KITENDO CHA KURIDHIA HUO MKATABA LICHA YA WENYE NCHI KUPINGA NI UZALENDO CCM OYEE
Baki juu ua minazi ukiangalia mali zikitoroshwa 😡😡🤬🤬🤬
 
Wabunge wa kanda ya ziwa wengi hapo.
 
Hakikisha hawa wabunge hawarudi tena Bungeni maisha yao yote

2025 kataa ccm,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…