EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
A lot of benefit my friend don't worry.Mfano wa faida ya bandari au?
Au kupiga mabomu ofisi zao?Watanganyika amkeni mkawapige mawe hawa wafisadi
Kati ya hao waliochangia na kuipa Chapuo ukiawaacha Shangazi/Msukuma weingine ni nani? Hao ndiyo waliolamba V8,Milungula/Nyumba.Orodha ya wabunge 30 waliopelekwa Dubai kupata "exposure" ya masuala ya Bandari, kabla ya azimio la bunge la kukabidhi bandari zetu zote kwa kampuni ya DP World. Majina haya yatunzwe vema. Vitabu vyetu vya historia miaka 100 ijayo vitayatumia kama refference mashuleni.!
View attachment 2660761
Ndohivyo tungekuwa huru account zaozingekaguliwa make zitakuwa zimenona baada yakurudi DubaiOrodha ya wabunge 30 waliopelekwa Dubai kupata "exposure" ya masuala ya Bandari, kabla ya azimio la bunge la kukabidhi bandari zetu zote kwa kampuni ya DP World. Majina haya yatunzwe vema. Vitabu vyetu vya historia miaka 100 ijayo vitayatumia kama refference mashuleni.!
View attachment 2660761
Hatupingi uwekezaji tunapinga mkataba ulivyoHao wabunge wajengewe sanamu kwa kulikomboa taifa toka kwa TPA iliyoendesha bandari kwa zaidi ya miaka50 bila tija yeyote.
Wapelekwe DBX au Doha as well kuangalia airport inavyoendeshwa tuwape wawekezaji TAA pia.
unawezaje kuitenganisha; chukua chako mapema na mlungula?Orodha ya wabunge 30 waliopelekwa Dubai kupata "exposure" ya masuala ya Bandari, kabla ya azimio la bunge la kukabidhi bandari zetu zote kwa kampuni ya DP World. Majina haya yatunzwe vema. Vitabu vyetu vya historia miaka 100 ijayo vitayatumia kama refference mashuleni.!
View attachment 2660761
Kwa nini Malisa ametajwa hapa? Yeye siyo mtoa mada hii.
Wabunge toka Zanzibar, ambako bandari hazihusiki wanakuwemo kwenye orodha hiyo kwa sababu zipi hasa?Watanganyika amkeni mkawapige mawe hawa wafisadi
Waende na London waangalie wabunge na mawaziri wanavyowajibika wakilikoroga!Hao wabunge wajengewe sanamu kwa kulikomboa taifa toka kwa TPA iliyoendesha bandari kwa zaidi ya miaka50 bila tija yeyote.
Wapelekwe DBX au Doha as well kuangalia airport inavyoendeshwa tuwape wawekezaji TAA pia.