Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Nikiwa katika shughuli za kukagua utekelezaji wa Serikali kwenye miradi mbalimbali nilipata fursa ya kufanya tathimini kwenye baadhi ya majimbo yaliyochini ya wabunge wa CHADEMA. Kimsingi na kwa hakika wafuatao walijikuta wabunge kwa sababu ya ''upepo'' wa Lowassa na kuelekea uchaguzi mkuu 2020 wajiandae kukabidhi majimbo hayo kwa wananchi;
Nawasilisha.

- Gibson Meiseyeki-Arumeru Magharibi
- Godbless Lema-Arusha
- Esther Bulaya-Bunda Mjini
- Esther Matiku-Tarime Mjini
- John Heche-Tarime Vijijini
- Saed Kubenea-Ubungo
- John Mnyika-Kibamba
- Nagenjwa Kaboyoka -Same Mashariki
- Wilfred Lwakatare-Bukoba Mjini
- Anthony Komu-Moshi vijijini
Nawasilisha.