Orodha ya viongozi wa CCM waliomfuata Lowassa

Orodha ya viongozi wa CCM waliomfuata Lowassa

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
240
Mafuriko yanaendelea. CCM inatikisika na si ajabu kuwa kwa sasa CCM inapita ktk kipindi kigumu kuwahi kutokea katika historia yake.

Ninauleta uzi huu ili tuorodheshe orodha ya viongozi waliohama CCM na kujiunga na vyama vingine, tangu Lowassa aitose CCM.

Binafsi ninawafahamu Goodluck Ole Medeye (naibu Waziri wa Ardhi), Makongoro Mahanga (Naibu Waziri wa kazi), Mgana Msindai (Mwenyekiti wa CCM Singida), Hamisi Mgeja (Mwenyekiti wa CCM Shinyanga), Saidi Nkumba (Mbunge wa Sikonge)

Taja wengine. Binafsi nitawaorodhesha ktk kitabu changu. Viongozi wawe ni viongozi wa CCM wa ngazi zote iwe ni mashina, matawi, vijiji, Kata, wilaya, mikoa au Taifa

Nawasilisha
 
lembeli, chief wa bukoba,ole medeye, muliro wa karagwe...................
 
Mimi Nilijua wanajiunga na Chadema/UKAWA Kumbe anajiunga na Lowassa.!

Kwani Lowassa ni mgombea binafsi.!
 
Hata Pinda anatamani sana kujiunga na UKAWA
 
Mwigulu Mchemba na Nape nao wanatimka kufuata Lowassa
 
Jackson Masamaki,aliyewacharanga mapanga wabunge wa cdm ndani ya gwanda Jumapili hii mbele ya Laigwanan
 
Jackson Masamaki,aliyewacharanga mapanga wabunge wa cdm ndani ya gwanda Jumapili hii mbele ya Laigwanan,Mwanza
 
Kikwete zikibaki siku tisa kampeny iishe atampigia mh rais mamvi ili ajiunge ukawa na atatubu aminini nawambia na atasamehewa pia nawanae kina miraji matajir watoto
 
Makonda yupo kwa Membe mda huu anavuta Pesa kwa Ajili ya kazi ya kumchafua Lowasa kwenye mtandao
 
Back
Top Bottom