minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,421
- 22,433
Mwigulu Mchemba na Nape nao wanatimka kufuata Lowassa
Nape na Makonda wanashinda nyumbani kwa Membe kila siku , wamebuni Mladi wa kuchukua Pesa kwa Membe kwa kisingizio cha kumsaidia kumchafua Lowasa , sasa Membe kalifukua lile handaki alilofukia mapesa ya Gadafi kaanza kuzitumia kuwanunua Ukawa ameanza na Lipumba na Slaa sasa wanapanga kuwanunua wengine.