Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,137
- 11,400
Mkuu futa hii usije kufanya Sir God aone amenibless utajiri wakati mm sina kitu, hapa yenyewe sijala tangu mchana
Yaan Zele na Ruto Zele hana kitu yaan Zele ana deni,?Ningeshangaa sana kama Ruto (Kasongo) asingekuwepo kwenye list hiyo. π
Wanaiba madini Congo ndio akili hioKagame, mt ameiba madini Congo miaka na miaka anakosaje $500M. Kanchi kadogo hakana Ardhi ila kana big brains. Wanyarwanda siwapendi, lakini akili wanazo watu wale.
Where is SSH??View attachment 3330382
π΅ Top 15 Richest World Leaders currently in office π
1 π·πΊ Vladimir Putin - $200B
2 π°π΅ Kim Jong Un - $5B
3 πΊπΈ Donald Trump - $4.9B
4 π¨π³ Xi Jinping - $1.5B
5 π¬πΆ Teodoro Mbasogo - $600M
6 π¦πΏ Ilham Aliyev - $500M
7 πΉπ· Recep Erdogan - $500M
8 π·πΌ Paul Kagame - $500M
9 πΏπ¦ Cyril Ramaphosa - $450M
10 π°πͺ William Ruto - $400M
11 πΉπ P. Shinawatra - $199M
12 π«π· Emmanuel Macron - $31.5M
13 π¨π¦ Mark Carney - $21M
14 πΊπ¦ Volodymyr Zelensky - $20M
15 πΈπ¬ Lawrence Wong - $5M
Source : Yahoo Finance
Wanaiba madini Congo ndio akili hio
Ndio akili za Wanaijeria au sio?Pamoja na umafia wao hapo Congo, lakini wanyarwanda wana vitu "special" kwenye vichwa vyao linapokuja suala la kuukataa umasikini.
Yaaa hata madem wa Rwanda huwez kumla kifala wana protocol balaa npo huku nawakilisha nchi...Pamoja na umafia wao hapo Congo, lakini wanyarwanda wana vitu "special" kwenye vichwa vyao linapokuja suala la kuukataa umasikini.
Yaaa hata madem wa Rwanda huwez kumla kifala wana protocol balaa npo huku nawakilisha nchi...
dolar B200 ni sawa na tirion 500 kiongoz hapa umeongopaaaaas"View attachment 3330382
π΅ Top 15 Richest World Leaders currently in office π
1 π·πΊ Vladimir Putin - $200B
2 π°π΅ Kim Jong Un - $5B
3 πΊπΈ Donald Trump - $4.9B
4 π¨π³ Xi Jinping - $1.5B
5 π¬πΆ Teodoro Mbasogo - $600M
6 π¦πΏ Ilham Aliyev - $500M
7 πΉπ· Recep Erdogan - $500M
8 π·πΌ Paul Kagame - $500M
9 πΏπ¦ Cyril Ramaphosa - $450M
10 π°πͺ William Ruto - $400M
11 πΉπ P. Shinawatra - $199M
12 π«π· Emmanuel Macron - $31.5M
13 π¨π¦ Mark Carney - $21M
14 πΊπ¦ Volodymyr Zelensky - $20M
15 πΈπ¬ Lawrence Wong - $5M
Source : Yahoo Finance
ππ siyo kweli ndugu yetu mbagaMkuu futa hii usije kufanya Sir God amenibless utajiri wakati mm sina kitu, hapa yenyewe sijala tangu mchana
Amini hvy mkuu, ww nione online tuu lkn nna maumivu knomaππ siyo kweli ndugu yetu mbaga
Utajiri mkubwa ni ule wa legacy au kuacha idea ambayo kupitia hio idea watu wanatengeneza fedha nyingi na sio huo wa cash money ambao unaisha mda wowote