Kwa bongo tech hub ni chache sana kutokana na kukosa support kutoka katika jamii na serikakini kwa ujumla. Chukua mfano watu wengi ( sio wote) ambao wanamiluki blogs/ website ni za bure tukija kwenye software hapa ndio kikwazo kikubwa kila kitu anataka free download sasa mbongo akitengeneza system watu unakuta wanamkatisha tamaa , utasikia huyu ame copy na Ku paste kutoka sehemu flani.
Solution:
Watu watengeneze groups na wafanye innovations IPO
itawalipa sa serikali itoe mchango wake katika kufadhili projects