Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (13)
1. Magdalena Rwebangira( Independent lawyer CCM)2. Kingunge Ngombale Mwiru(CCM)
3. Asha D. Mtwangi (Kazi Ikulu CCM)4. Maria Sarungi Tsehai ( CCM FamilY)
5. Paul Kimiti (old CCM)6. Valerie N. Msoka(Mwanahabari CCM)
7. Fortunate Moses Kabeja (CCM Damu)8. Sixtus Raphael Mapunda(uvccm)
9. Elizabeth Maro Minde(CCM)10. Happiness Samson Sengi(CCM)
11. Evod Herman Mmanda(CCM)12. Godfrey Simbeye(TPSF CCM)
13. Mary Paul Daffa(CCM)
 
Yetu macho, ewe Mwenyezi iangalie nchi yetu kwa jicho la huruma
 
wakati watanzania wakimpongeza Rais kwa kutmia hekima na busara katika uteuzi wake wewe unalalama, kweli sikio la kufa halisikii dawa.

ametimiza matakwaya ssssssssm,,,. poaaaaaaa Mungu ataaamua tu....... sote tunapita
 
..Natujwa Mvungi PhD.

..mkuu wa kitivo cha sheria Univ of Bagamoyo.

..binti wa marehemu Dr.Sengondo Mvungi.

..kweli maji hufuata mkondo.
 
Haya kazi kwenu, kina Lipumba huwa mnapigia kelele nje, leo mpewa nafasi, mkaoneshe ukomavu wenu sasa, msije mkawa kama Mrema, alipopewa ubunge kimpya, kafyata mkia.
 
Tuwapeni nafasi jamani wakajadili suala hili nyeti la Nchi. Kumbukeni pia sisi tumepewa wasaa wa kuamua!
ila ningeshauri replacement za wabunge vilaza kama wassira, majimarefu, komba,mama rwakatale etc ambao maranyingi huonekana wakichapa mbonji pale mjengoni!
 
ngoja niyachunguze kwanza , KINGUNGE amewakilisha kundi gani ? Mbona amechoka sana yule mzee jamani !
 
Kifupi ni kuwa wale wote wenye msimamo unaotofautiana na CCM hawajaingia kwenye hilo bunge maalum la katiba..katiba ijayo itakua katiba ya CCM...MIA!
 
walijuaje kuwa kuna kundi la watu wenye malengo yanayofanana ili hali kila mtu ana mtizamo uelewa na fikra tofauti? au ndio njia ya kupeana ulaji?
 
TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20)

TANZANIA BARA

1. Dr. Suzan Kolimba 2. Prof. Esther Daniel Mwaikambo

3. Dr. Natujwa Mvungi 4. Prof. Romuald Haule

5. Dr. Domitila A.R. Bashemera 6. Dr. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa

7. Prof. Bernadeta Kilian 8. Teddy Ladislaus Patrick

9. Dr. Francis Michael 10. Prof. Remmy J. Assey

11. Dr. Tulia Ackson 12. Dr. Ave Maria Emilius Semakafu

13. Hamza Mustafa Njozi

Hapa safi sana, Prof. Killian ni Political Scientist mzuri na Dr. Kolimba ni mtaalamu wa sheria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom