Orodha ya magazeti na machapisho yaliyopatiwa leseni yatolewa, yote ambayo hayajakamilisha leseni marufuku kuchapishwa

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,829
Orodha ya magazeti na majarida 112 yaliyofanikisha kupata leseni imetolewa.

Kulingana na taarifa ya msemaji mkuu wa Serikali, magazeti ambayo hayapo kwenye orodha hio hayataruhusiwa kuchapishwa tena mpaka watapokamilisha utaratibu wa maombi ya leseni zao na amewakumbusha ni kosa la jinai kuchapisha bila ya kuwa na leseni.
 

Attachments

  • MACHAPISHO COMPLETE.pdf
    153.5 KB · Views: 340

Angalia kwenye orodha namba 79 hadi 81 ni magazeti mapya ya National Media group ,nadhani wanabadili majina.kuna Taifa leo ,Sunday nation na Saturday edition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…