Orodha ya Madaktari sita bora zaidi duniani

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,831
Reaction score
24,000
1756525818496.jpg

Charlie Chaplin alipofariki akiwa na miaka 88
aliacha kauli 4:

1. Hakuna kinachodumu milele duniani, hata matatizo yetu.

2. Napenda kutembea kwenye mvua kwasababu hakuna atakayeyaona machozi yangu.

3. Siku iliyotumika vibaya zaidi maishani ni ile siku ambayo hatucheki.

4. Madaktari sita bora zaidi duniani ni...
I. Mwanga wa jua
II. Mapumziko
III. Mazoezi
IV. Mlo bora
V. Kujithamini
VI. Marafiki

Fanya hayo yote katika hatua zote za maisha yako ufurahie maisha bora.
Ukiuona mwezi utauona uzuri wa Mungu...
Ukiliona jua utaona uwezo na nguvu za Mungu
Ukijitazama kwenye kioo, utaona uumbaji bora kabisa wa Mungu

Amini Kuwa
Sisi sote ni watalii, Mungu ndiye anayeratibu safari yetu ambapo amekwishapanga kila kitu, vyumba vya kulala na tutakapoishia.
Mwamini Yeye na furahia MAISHA
Maisha ni safari!
Ishi leo vizuri!!!

🙏🙏🙏
 
Hapo kwa madaktari angesema tiba Bora huyo Mr Chaplin ila nakubaliana nae japo tiba number 6 ni changamoto
 
Charlie Chaplin alipofariki kumbe aliongea🤣🤣🤣mtoa mada uko Sawa au una stress
Hapana, Charlie Chaplin hakuwa bubu.

Alikuwa muigizaji maarufu wa sinema za kimya (silent films), enzi ambazo teknolojia ya kurekodi sauti haikuwa imeendelea. Kwa hiyo, filamu zake nyingi za awali hazikuwa na sauti, lakini hakuwa bubu. Baadaye, alishiriki pia kwenye filamu zenye sauti na aliongea vizuri kabisa.

Chaplin alichagua kuendelea kutumia sinema kimya hata baada ya sauti kuanza kutumika, ili kulinda mtindo wa kipekee wa sanaa yake.
 
View attachment 3458298
Charlie Chaplin alipofariki akiwa na miaka 88
aliacha kauli 4:

1. Hakuna kinachodumu milele duniani, hata matatizo yetu.

2. Napenda kutembea kwenye mvua kwasababu hakuna atakayeyaona machozi yangu.

3. Siku iliyotumika vibaya zaidi maishani ni ile siku ambayo hatucheki.

4. Madaktari sita bora zaidi duniani ni...
I. Mwanga wa jua
II. Mapumziko
III. Mazoezi
IV. Mlo bora
V. Kujithamini
VI. Marafiki

Fanya hayo yote katika hatua zote za maisha yako ufurahie maisha bora.
Ukiuona mwezi utauona uzuri wa Mungu...
Ukiliona jua utaona uwezo na nguvu za Mungu
Ukijitazama kwenye kioo, utaona uumbaji bora kabisa wa Mungu

Amini Kuwa
Sisi sote ni watalii, Mungu ndiye anayeratibu safari yetu ambapo amekwishapanga kila kitu, vyumba vya kulala na tutakapoishia.
Mwamini Yeye na furahia MAISHA
Maisha ni safari!
Ishi leo vizuri!!!

🙏🙏🙏
Chai
 
👏👏👏
 
Back
Top Bottom