Orodha ya familia 10 tajiri zaidi duniani 2025

Sio kweli wanamilik pharmaceutical industry, medical hata education system ndo ma editor inshort hao jamaa wawil ndo kila kitu federal bank of US ni Mali yao inasemekana.
 
Kwa nini hawapo kwenye orodha ya familia zilizo tajiri duniani?
Orodha ipi tena ? Unajua inatokeaje hiyo ? Mwaka Jana ambayo ilikuwa 2024 walitoa taarifa kama hiyo huko kwenye mtandao lakini kuna watu wakuka kusema hao jamaa hawana hela hiyo wana 1 M Usd' s na ndio mana Forbes wakawaexclude kwenye list yao, na wewe umeleta list ya Forbes au nasema uwongo?....ndio mana mimi naona that list is rigged....and next time uache kusema nimetoa story kijiweni, I read alot na I am good at doing research ndio mana hiyo list yako simkubali moja kwa moja
 
Popote utakapotafuta list ya familia tajiri duniani huikuti Rothschild family. Najua ukweli ushaufahamu ila unajishtukia tu kuukubali

Screenshot_20250721-213157_Chrome.jpg
 
Mleta mada Soma hiki kitabu utanishukuru baadae
 
Attachments

  • Screenshot_20250721-151317_1.jpg
    Screenshot_20250721-151317_1.jpg
    54.1 KB · Views: 11
Cha umuhimu kwangu mimi nikujua business ambazo wanafanya ilikujua wapi ukiwekeza unakua kwenye right track financial kwakua kuna mzunguko mkubwa wa fedha, mf. Nishati, mavazi, chakula, tech na news.
Nikiweka nguvu huku naweza piga hatua kadha.
Kubishania nani ni zaidi ... ?!*#;
 
Back
Top Bottom