Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ni kweli mkuu, upotoshwaji hupingwa kwa data.Hii kitu wanajifanyaga hawaioni...
Kipindi cha ujenzi lazima kiwe na changamoto kamanda.Hata ukiwa unafanya ujenzi wa nyumba kabla haijakamilika huonekana chafu.Huu mradi wa Arusha kuna kitu umenishangaza. Unachafua jiji. Wanachimbua lami kuweka mabomba, wakimaliza wanafukia tu kwa udongo hawarudishii hata concrete. Yaani kila mahali Arusha ni tope na vumbi tu.
Basi sawa ila kama hawakuwa na bajeti hiyo hawana budi kuitafuta ili jiji lirudie hali ya usafi.Kipindi cha ujenzi lazima kiwe na changamoto kamanda.Hata ukiwa unafanya ujenzi wa nyumba kabla haijakamilika huonekana chafu.
Ni suala la muda kamanda.Basi sawa ila kama hawakuwa na bajeti hiyo hawana budi kuitafuta ili jiji lirudie hali ya usafi.
Ndugu zangu,
Ili kuweka kumbukumbu sawa na kuwaumbua wapotoshaji ifuatayo ni baadhi ya miradi mikubwa ya maji inayoendelea sehemu mbalimbali nchini;
Serikali yatumia Bilioni 514 Kumaliza tatizo la Maji Jijini Arusha — Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority - AUWSA
www.maji.go.tz/news/bilioni-10-6-kumaliza-tatizo-la-maji-kisarawe
https://www.maji.go.tz/uploads/publications/sw1549617526-
ORODHA%20YA%20MIRADI%20MIJINI.pdf
Habari | Wizara ya Maji
Maji ya Ziwa Victoria mkombozi wa kero ya maji Tabora
Ipo mingi mnaweza kuiongeza ili kuuchochea mjadala.
Nawasilisha
Hela za mkopo zitalipwa na kodi za wananchi hivyo ni za serikali.Pili, tunazungumzia utekelezaji, kwa hiyo ulitaka usitekelezwe kisa upembuzi ulianza awamu ya nne?Nisaidie kuweka rekodi sawa, hizo bilioni 514 za mradi wa maji katika jiji la Arusha ni fedha toka mfuko wa serikali au ni za wafadhili? Mradi huu ulikuwepo toka enzi za JK au umeanza chini ya awamu hii ya tano? Hebu niwekee hilo vizuri ili nijue hizi sifa zinaenda sehemu stahiki au zinatakiwa kupewa asiyestahili?
Hela za mkopo zitalipwa na kodi za wananchi hivyo ni za serikali.Pili, tunazungumzia utekelezaji, kwa hiyo ulitaka usitekelezwe kisa upembuzi ulianza awamu ya nne?
Kama unajua unauliza nini kamanda?mimi nimeleta hoja ya miradi inayotekelezwa wewe njoo na hoja ya mikopo ijadiliwe tofauti.Jikite kwenye hoja ya utekelezaji kamanda. Kuna orodha ya miradi inayotekelezwa nimekuwekea, kuhusu zahanati na hospitali ni mjadala unaojitegemea.Unaweza ukawema link ya huo mkopo hapa jukwaani? Maana tunajua ndani nje kuhusu huo mradi, ili usitake kupeleka sifa kusikostahili. Hakuna uwezekano wa serikali hii ya awamu ya 5 kutekeleza mradi wa 500b+ katika jiji la Arusha, huku miradi inayosifiwa kila siku ya hospitali 67 za wilaya na vituo vya afya nchi nzima havijafika 500b.
Kama unajua unauliza nini kamanda?mimi nimeleta hoja ya miradi inayotekelezwa wewe njoo na hoja ya mikopo ijadiliwe tofauti.Jikite kwenye hoja ya utekelezaji kamanda. Kuna orodha ya miradi inayotekelezwa nimekuwekea, kuhusu zahanati na hospitali ni mjadala unaojitegemea.
Hivi Kilimanjaro hamna shida ya maji. Au ndiyo wanatakiwa wasubiri awamu hii?Ndugu zangu,
Ili kuweka kumbukumbu sawa na kuwaumbua wapotoshaji ifuatayo ni baadhi ya miradi mikubwa ya maji inayoendelea sehemu mbalimbali nchini;
Serikali yatumia Bilioni 514 Kumaliza tatizo la Maji Jijini Arusha — Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority - AUWSA
www.maji.go.tz/news/bilioni-10-6-kumaliza-tatizo-la-maji-kisarawe
https://www.maji.go.tz/uploads/publications/sw1549617526-
ORODHA%20YA%20MIRADI%20MIJINI.pdf
Habari | Wizara ya Maji
Maji ya Ziwa Victoria mkombozi wa kero ya maji Tabora
Ipo mingi mnaweza kuiongeza ili kuuchochea mjadala.
Nawasilisha
Haya kamanda naona unahamisha goli.Lengo lako hasa la huu uzi ni kutaka kupeleka sifa kusiko stahili, kwa kulijua hilo ndio nikataka kuweka rekodi sawa. Narudia tena huo mradi ni wa 500b, serikali hii ya awamu ya tano isingethubutu kupeleka mradi mkubwa hivyo huko Arusha, labda eneo lingine la nchi lakini sio Arusha. Kwahiyo wakati unataka kusifia uje taratibu maana tunajua ukweli wa huo mradi.
Haya kamanda naona unahamisha goli.
Jikite kwenye hoja sasa, wakati unapinga tafakari usikurupuke.Sihamishi goli, nimesema uje taratibu wakati unasifia.
Jikite kwenye hoja sasa, wakati unapinga tafakari usikurupuke.