Orodha ya baadhi ya miradi mikubwa ya maji inayoendelea nchini

JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,697
2,000
Huu mradi wa Arusha kuna kitu umenishangaza. Unachafua jiji. Wanachimbua lami kuweka mabomba, wakimaliza wanafukia tu kwa udongo hawarudishii hata concrete. Yaani kila mahali Arusha ni tope na vumbi tu.
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,095

Kipindi cha ujenzi lazima kiwe na changamoto kamanda.Hata ukiwa unafanya ujenzi wa nyumba kabla haijakamilika huonekana chafu.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,400
2,000
Nisaidie kuweka rekodi sawa, hizo bilioni 514 za mradi wa maji katika jiji la Arusha ni fedha toka mfuko wa serikali au ni za wafadhili? Mradi huu ulikuwepo toka enzi za JK au umeanza chini ya awamu hii ya tano? Hebu niwekee hilo vizuri ili nijue hizi sifa zinaenda sehemu stahiki au zinatakiwa kupewa asiyestahili?
 
Hela za mkopo zitalipwa na kodi za wananchi hivyo ni za serikali.Pili, tunazungumzia utekelezaji, kwa hiyo ulitaka usitekelezwe kisa upembuzi ulianza awamu ya nne?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,400
2,000
Hela za mkopo zitalipwa na kodi za wananchi hivyo ni za serikali.Pili, tunazungumzia utekelezaji, kwa hiyo ulitaka usitekelezwe kisa upembuzi ulianza awamu ya nne?
Unaweza ukawema link ya huo mkopo hapa jukwaani? Maana tunajua ndani nje kuhusu huo mradi, ili usitake kupeleka sifa kusikostahili. Hakuna uwezekano wa serikali hii ya awamu ya 5 kutekeleza mradi wa 500b+ katika jiji la Arusha, huku miradi inayosifiwa kila siku ya hospitali 67 za wilaya na vituo vya afya nchi nzima havijafika 500b.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
47,846
2,000
Shida za maji haiwezi ishaa chini ya watawala Hawa wa kijani

Ova
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,095
2,000
Unaweza ukawema link ya huo mkopo hapa jukwaani? Maana tunajua ndani nje kuhusu huo mradi, ili usitake kupeleka sifa kusikostahili. Hakuna uwezekano wa serikali hii ya awamu ya 5 kutekeleza mradi wa 500b+ katika jiji la Arusha, huku miradi inayosifiwa kila siku ya hospitali 67 za wilaya na vituo vya afya nchi nzima havijafika 500b.
Kama unajua unauliza nini kamanda?mimi nimeleta hoja ya miradi inayotekelezwa wewe njoo na hoja ya mikopo ijadiliwe tofauti.Jikite kwenye hoja ya utekelezaji kamanda. Kuna orodha ya miradi inayotekelezwa nimekuwekea, kuhusu zahanati na hospitali ni mjadala unaojitegemea.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,400
2,000
Kama unajua unauliza nini kamanda?mimi nimeleta hoja ya miradi inayotekelezwa wewe njoo na hoja ya mikopo ijadiliwe tofauti.Jikite kwenye hoja ya utekelezaji kamanda. Kuna orodha ya miradi inayotekelezwa nimekuwekea, kuhusu zahanati na hospitali ni mjadala unaojitegemea.
Lengo lako hasa la huu uzi ni kutaka kupeleka sifa kusiko stahili, kwa kulijua hilo ndio nikataka kuweka rekodi sawa. Narudia tena huo mradi ni wa 500b, serikali hii ya awamu ya tano isingethubutu kupeleka mradi mkubwa hivyo huko Arusha, labda eneo lingine la nchi lakini sio Arusha. Kwahiyo wakati unataka kusifia uje taratibu maana tunajua ukweli wa huo mradi.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
8,933
2,000
Hivi Kilimanjaro hamna shida ya maji. Au ndiyo wanatakiwa wasubiri awamu hii?
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,095
2,000
Lengo lako hasa la huu uzi ni kutaka kupeleka sifa kusiko stahili, kwa kulijua hilo ndio nikataka kuweka rekodi sawa. Narudia tena huo mradi ni wa 500b, serikali hii ya awamu ya tano isingethubutu kupeleka mradi mkubwa hivyo huko Arusha, labda eneo lingine la nchi lakini sio Arusha. Kwahiyo wakati unataka kusifia uje taratibu maana tunajua ukweli wa huo mradi.
Haya kamanda naona unahamisha goli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom