BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Haturuhusu kuingiliwa na mtu kuhusu jinsi ya kudhibiti COVID19. Tutakutana mbele ya safari na hapo kitaeleweka tu.Kama Tanzania haipo, nitaamini mabeberu ni walaghai sana...
Jambo jipya la kutalii limeibuka hapo kwanini tz hakuna korona tuna expect utalii mwingi sana kuhusiana na hilo.......Mmeona matokeo ya kutochukulia corona serious? Rwanda wana kesi +1000, Tanzania kesi 409 lakini Rwana inachukuliwa kama nchi salama kwani wameonesha weledi mkubwa na kuwa serious kuliko Tz ambayo imekataa kutoa takwimu. Nilisema huu ujinga utatuliza na watu hawakunielewa, sasa angalia watalii hawatakuja na ndio jiwe na wenzake watajua nini maana ya uongozi bora na udikteta.
Ingekua imeziwiliwa tanzania pekee ninge kuunga mkono alafu acha propagandaMmeona matokeo ya kutochukulia corona serious? Rwanda wana kesi +1000, Tanzania kesi 409 lakini Rwana inachukuliwa kama nchi salama kwani wameonesha weledi mkubwa na kuwa serious kuliko Tz ambayo imekataa kutoa takwimu. Nilisema huu ujinga utatuliza na watu hawakunielewa, sasa angalia watalii hawatakuja na ndio jiwe na wenzake watajua nini maana ya uongozi bora na udikteta.
Unajua watanzania wengi ni wajinga, mmezoea kifikiri kifo cha wengi ni harusi. Tunakosa watalii na tutapata shida kama Watanzania.Ingekua imeziwiliwa tanzania pekee ninge kuunga mkono alafu acha propaganda
Marekan na urus wapo kwenye umaskini kama sisUnajua watanzania wengi ni wajinga, mmezoea kifikiri kifo cha wengi ni harusi. Tunakosa watalii na tutapata shida kama Watanzania. Hamuendelei watanzania kwa sababu mnaangalia majirani zenu waliopo kwenye umaskini kama ninyi basi mnaridhika kwani mpo wengi kwenye umaskini. Uhh!
Hawapo na hawadhuriki kama sisi sasa nyie mnaona sawa kwasababu na wao wamefungiwa kama sisi. Ujue wao wanauchumi imara na mtambuka sio sisi tunategemea watu kuona nyumbu wakivuka mto.Marekan na urus wapo kwenye umaskini kama sis
Sasa sisi wabongo ulaya tunaenda kutalii Nini? Ni wao ndio wameziwia watu kutoka kwetu kwenda kwao ila hawajaziwia watu kutoka kwao Kuja kwetu Sasa sijui unaangaika kwa nnHawapo na hawadhuriki kama sisi sasa nyie mnaona sawa kwasababu na wao wamefungiwa kama sisi. Ujue wao wanauchumi imara na mtambuka sio sisi tunategemea watu kuona nyumbu wakivuka mto.