Orodha mpya ya majina ya mashirika ya ndege Tanzania

Orodha mpya ya majina ya mashirika ya ndege Tanzania

Spanishboy

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
118
Reaction score
65
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mpaka July 2013 kampuni (mashirika) 47 kati ya 74 zilizopata leseni ya kutoa huduma za usafiri wa anga zimekuwa zikitoa huduma hizo. Leo nakuletea orodha na majina ya kampuni hizo ni kama ifuatavyo:-


NO
Majina ya kampuni za ndege
1
Air Tanzania Company Ltd
2
Precision Air Services PLC
3
Coastal Travels Ltd
4
Zan Air Ltd
5
Air Excel Ltd
6
Regional Air Services Ltd
7
Nothern Air Ltd
8
Zantas Air Service Ltd
9
Mission Aviation Fellowship (MAF)
10
Auric Air Services Ltd
11
Tanzania Government Flight Agency
12
Serengeti Balloons (Tourism &Public Relations Services Ltd)

Inaendelea.. Orodha mpya ya majina ya mashirika ya ndege Tanzania - Tabianchi
 
mbona ngege hizo sisizioni ulaya wala latin america?
 
Sanasaana, utaibahatisha Precission Air maeneo ya Jomo Kenyata Aiport...ikiwa na abiria 14 wa kuja KIA na au Dar. Mengine ni vipanzi vya mikoani mara 1 kwa wiki na hadi wapate order wa wazungu wanaokwenda mbuga za wanyama.
 
Unataka kutangaza blog yako tu. Kwanini usimalizie list ya majina ila unatoa link ya blog...
 
hakuna ubaya kutangaza blog, cha msingi ni kupashana habari
 
Back
Top Bottom