Orlando Massacre: US Going Through Its 'Worst Nightmare'

Orlando Massacre: US Going Through Its 'Worst Nightmare'

maulana majaliwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
261
Reaction score
143
Hundreds of people gathered just a few blocks away from the notorious Pulse nightclub in the US city of Orlando. Everyone is willing to help: from blood donations for the victims, to bringing food and water for donors and relatives who wait for hours in the summer heat, Spiegel Online wrote.

The atmosphere in the city is depressing: the place where the tragedy took place looks like a war zone, helicopters are circling in the sky and reporters have gathered in front of the hospital where the injured had been taken after the shooting.

There are memorial services or spontaneous prayers in the street held throughout the city. Tears are flowing. Many tears. It seems as if people in Orlando most often ask two questions: How could this happen? And what happened to 29-year-old Omar Mateen, who will go down in history as a murderer?" the magazine wrote.

On Sunday, 29-year-old Omar Mateen opened fire in a crowded gay nightclub in Orlando, Florida, killing 49 people and injuring 53 others. The shooting was classified by the US police as an act of terrorism and caused a wave of shock across the United States.

"June 12 will remain in the memory [of US residents] as the worst nightmare. From Orlando to Florida — for the entire country. 50 people have been killed. They just wanted to dance but were coolly shot by a young man," the article said.

US intelligence agencies are still working on an explanation of the terrorist's motive behind the shooting. The FBI has confirmed that the shooter, Omar Mateen, swore allegiance to the Islamic State (ISIL or Daesh) terror group before carrying out the attack.
The key questions remain yet to be answered: Did he perform a mission for Daesh? Was he inspired by Daesh? Did the FBI make a fatal mistake? Have the agents lost track of Daesh terrorists?

Orlando Massacre: US Going Through Its 'Worst Nightmare'
 
Wanaombewa kwa nani?!kama mungu anaukemea ushoga labda ibilisi
 
Yesterday on 'Yahoo News page' waliandika ''Heaven has gained an angel''!
Mungu hadhihakiwi, kila apandacho mtu ndicho atakachovuna!
Neno la Mungu liko wazi & direct, ukifa dhambini pasipo kutubu ni tiketi ya moja kwa moja jehanamu irrespective the prayers your relatives offer to God pleading mercy for you!
Kimsingi kumwombea rehema marehemu ni kupoteza muda. Dini ziache kupotosha waumini wao!
 
Taarifa za tangu jana zinasema hata mshkaji aliyewatwanga risasi na yeye alikua mteja mzuri sana wa hapo kijiweni...alikua anaenda kujichukulia mashoga zake halafu leo anasema eti ni kwa ajili ya Dini, hahahahhaa baada ya kulamba utamu wa wanaume wenzio??
 
Omar Mateen -- Strong Signs He Was Gay ... According to Ex-Wife (VIDEO)
 
Taarifa za tangu jana zinasema hata mshkaji aliyewatwanga risasi na yeye alikua mteja mzuri sana wa hapo kijiweni...alikua anaenda kujichukulia mashoga zake halafu leo anasema eti ni kwa ajili ya Dini, hahahahhaa baada ya kulamba utamu wa wanaume wenzio??
Alikuwa mteja wa mashoga
Alikuwa shoga
Aliwachukia mashoga
Aliwapenda mashoga
Aliwaona mashoga wakikiss
Alikuwa akienda pale club Mara nyingi
Alikuwa Muislam wa wastani
Alikuwa extremist
Alikuwa member wa ISIS
Hakuwa ISIS
Alifanya kwa matakwa yake
Alifanya hate crime

Hizo zote hapo juu ni PROPAGANDA
 
watakuwa wanawaombea kwa mungu mkubwa auaye mashoga.
maana najiuliza hayo maombi na dua atapokea kweli.
 
Habari zilizopo ni kwamba hata muuaji alikuwa ni shoga

Sidhani km muuaji alikuwa shoga...nlimskia baba yake bbc akisema kuwa kabla ya kutekeleza maauaji yale mtoto wake jana yake alioona wanaume wawili wakipigana denda na kitendo kile kilimkela sana,hata obama leo ameskika akisema muuaji hakuwa gaidi bali alifanya maauaji yake kwa msimamo wake binafs juu ya ushoga
 
Hivi wale wote waliouwawa walikuwa mashoga? kama jibu ni ndio basi mimi sina huruma na watu wa hivi
Habari zinazoendela kupatikana ni kwamba hata muuaji alikuwa mteja mzuri wa hiyo club na alikuwa akishiriki mapenzi ya jinsia moja. Hapa tunaongelea kutoa kijiti jichoni kwa mwenzio huku wewe ukiwa na boriti na kibaya zaidi kwa kisingizio cha dini!
 
Hawa marekani ndio wanatuharibia hii Dunia na mambo yao machafu wanayofanya
 
Habari zinazoendela kupatikana ni kwamba hata muuaji alikuwa mteja mzuri wa hiyo club na alikuwa akishiriki mapenzi ya jinsia moja. Hapa tunaongelea kutoa kijiti jichoni kwa mwenzio huku wewe ukiwa na boriti na kibaya zaidi kwa kisingizio cha dini!
Hizo habar mbona kama ni propaganda kupunguza hasira za watu dhidi ya Ushoga.Hasira za mwenyez mungu kwa dhambi hii ni kari na hazishuki kwa namna mnayofikiri kwamba utashushwa moto kama sodoma.Katika vitabu vyote vitakatifu mwenyez mungu ametamka kwa ukari sana juu ya ushoga na shetani alivyo utafuta kugusa pale panapomtia hasira sana mwenyez mungu.
Mashoga wanataka sasa kuwa open kwa kila mtu.Lakini vita hii si ya Damu na nyama ni spiritual Transformation war.
 
Hili shambulio mimi nililisikia mapema Jumamosi kupitia media (radio, tv, mitandao) na nimeendelea kupata taarifa zaidi kupitia njia hizo hizo kila mmoja akisema lake huku kazi yangu mimi ikiwa ni kuchuja opinions za wanaochangia mjadala. Ni kupitia njia hizo nimewasikia mashuhuda wakisema kuwa huyu mshambuliaji alikuwa ni mwenzao, sasa kuthibitisha au kukanusha hilo siwezi maana hata huko Florida sijawahi kufika!
Hayo mambo ya sodoma, sijui moto nk ni mambo yaliyo beyond our imagination na ndio maana tunajadili tunayoweza. Mfano Mungu akishusha moto duniani kama ilivyokuwa kwa big bang nakuwa na mashaka hata wasio mashoga watateketea. Katika opinion ya muombolezaji mmoja wapo kutoka Australia amesema kwamba "jamii ya mashoga tuko wengi zaidi ya mnavyodhani". Na je, unajua kwamba hawa jamaa hata Tanzania wapo na wanafurahia matendo yao japo hakuna sheria iliyowaruhusu (au sheria inayowakataza!)!?
 
Back
Top Bottom