Originality ya Kioo cha HTC ONE X......

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
160
Reaction score
13
Nimefanya quotations kibao za bei ya kioo cha HTC one x, nimepata kizunguzungu kwa bei ninazotajiwa. Kuna wanaonitajia kuwa complete 130-150k na wengine wanasema 50-80k, sasa nashindwa kuelewa kuna vingine ni feki au ndo watu kutaka faida kubwa. Kwani cjaona mtu akizama ktk bei ya hapo katikati na ni zaidi ya watu 10. Wataalamu nisaidieni wazee,
 
integral sign

Nunua kwa hiyo bei TSH 50K - TSH 80K

Sababu online Bei yake ipo kati ya USD 24 - USD 35

Hivyo kwa TSH 50K - TSH 80K Ni sawa kabisa

Waweza Angalia kwenye hii link
Code:
 http://www.aliexpress.com/wholesale?catId=0&initiative_id=SB_20150327234748&SearchText=htc+one+x+screen
 
Last edited by a moderator:
super ips lcd2 ndio technology ya kioo original. unaweza ukaekewa ips ya kawaida au hata tft ukauziwa bei rahisi.

though simu ya zaman ila hicho kioo ni cha ukwel stegemei kiwe rahis kihivyo though kinaweza vile vile



hapo ni tofauti yake na amoled na lcd

cha muhimu wewe jaribu kutofautisha na macho, amoled hawawez kukuuzia hivyo hatari iliyopo ni kuuziwa tft, original kitakua cheusi sana wakati tft yenyewe kitakuwa na rangi ya kijivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…