Gulf Streamer
Member
- Aug 7, 2014
- 90
- 40
Samsung TAB4 for sale
#Imetumika masaa 168 toka inunuliwe August mwaka huu
#16GB Internal Memory
#Clean-Haina michubuko kabisa
#Ina uwezo wa kukamata 3G, GSM and WiFi.
#Utapata na cover ninalolitumia, japokuwa ni universal cover for 10inch tablet, so halina tundu la camera ya nyuma, kuitumia camera ya nyuma ni hadi utoe cover lake.
#Ni PM/Inbox kwa mawasiliano ya zaidi
#Bei yake ni laki 5.
#Ni po Dar es salaam. Kama upo mkoani tukikubaliana utatafuta mtu wako wa karibu nifanye nae biashara kwa niaba yako.
NB: Nahitaji kununua Desktop CPU kwa haraka kwa ajiri ya kazi zangu.
Kwa Mbele
Kwa Nyuma
Other Informations
Ndani ya cover