Gantar gal,
Nakushauri weka at least brand 10 kwa gents na 10 kwa ladies ili sisi tusiojua walau hata tuvutiwe na majina tu, tupo wengine tunataka kuhama kwenye Yolanda na Ayu tuje kwenye Ma Ferrari and the like, plz do a favour!
Weka mawasiliano yako,
Unakopatikana (bidhaa zilipo),
Bei pia kwa kila moja kama utaorodhesha,
picha wengine ni #teamwekapicha tukiona picha tunavutiwa hata bila kusikia harufu.
Wala usikerekwe kwa maneno ya wachache,umeweka biashara walioridhishwa watakutafuta tu mdada..sio wote humu wanao-go for expensive things. Waaache na mawazo yao..wewe stick na business yako.
Wala usikerekwe kwa maneno ya wachache,umeweka biashara walioridhishwa watakutafuta tu mdada..sio wote humu wanao-go for expensive things. Waaache na mawazo yao..wewe stick na business yako.