Original perfumes from USA

Original perfumes from USA

Hivi mnaanzaje kutumia hivi vitu? Tofaut na zile za kutumia kwenye mait, utatofautishaje?
 
Mh! Mh! Mh! Inakuwaje EAU de toilette ndo ina bei hivo, tena kuliko hata EAU de parfume wakati ndio yenye high concentration!!! Kwakweli hapana aisee!!!
Perfume original haiwezi uzwa kwa Jamii forums hapa hizo fake. Nenda maduka yapo tena machache dar. Nshapigwa mpk nkanyooka
 
Perfume original haiwezi uzwa kwa Jamii forums hapa hizo fake. Nenda maduka yapo tena machache dar. Nshapigwa mpk nkanyooka
Ushawahi kununua kwangu mkuu na ukakuta fake?
 
Hahaha perfume moja inauzwa 75,000 sasa hio faida ya 100,000 itokee wapi mkuu,
Angalia bei vizuri sio laki saba hio.
Ngoja nikifundishe hesabu kidogo. Hiyo 75k ukitoa super profit yako ya 50k inabaki 25k ambayo ndiyo bei ya perfume, na hiyo 130k ukitoa super profit ya 100k inabaki 30k ambayo ndiyo bei ya perfume ndomana nakwambia hongera kwa ubunifu mzuri "perfume kutoka kwa trump"
 
Kweli kuna perfumes original zinauzwa 25,000?
Wapi?
 
Hizo zako si umezitoa pale msimbazi k/koo afu unakuja kutuambia eti zimetoka white house kwa Trump
Wasiwasi wako nini mpaka unaaminisha hizi nimenunua kariakoo while hujazijaribu boss.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom