Kutumia kitu fulani sio hoja ya kwamba unwjifanya unajua kkitu hicho.
Mtoa mada katumia kiingereza na wala hajajifanya anajua.
Jirani akikuomba umtolee sauti ya kiume kwenye smu yake huwezi kumuambia aache kujifanya anajua kutumia simu ati kwa kuwa tu anatumia simu.
Nimemteteamtoa mada kwa sababu ya upuuzi ulioandika japokuwa nina imani kuwa wewe ni mwerevu.