moblaze JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 231 Reaction score 27 Oct 7, 2011 #41 ipo cku watajutia maneno yao. sijui watakula wapi tena watoto wa Nepi..!?
GeniusBrain JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 4,315 Reaction score 309 Oct 7, 2011 #42 Ndibalema said: Njaa jamani. Hawana jinsi kwani wasipofanya hivyo wanavyofanya watakula wapi? Click to expand... Wamesema kweli acheni kuwaonea wivu wa kike
Ndibalema said: Njaa jamani. Hawana jinsi kwani wasipofanya hivyo wanavyofanya watakula wapi? Click to expand... Wamesema kweli acheni kuwaonea wivu wa kike
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Oct 7, 2011 #43 Pawaga said: Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi? Click to expand... Hawa si wanalishwa na CCM bila kuisifia au kutumbuiza watakufa njaa
Pawaga said: Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni wajinga sana kwanin wanauza utu wao kijinga hvi? Click to expand... Hawa si wanalishwa na CCM bila kuisifia au kutumbuiza watakufa njaa
L Lofefm Senior Member Joined May 22, 2011 Posts 126 Reaction score 81 Oct 7, 2011 #44 jamaa inaelekea wamepewa kitu manake siku hizi hawathubutu kuikosoa serikali
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Oct 7, 2011 #45 To me they are just craps..
hKichaka Senior Member Joined Apr 23, 2011 Posts 199 Reaction score 19 Oct 7, 2011 #46 nA UMAARUFU WAO NDO UNAANZA KUISHA ...HAWAJUI MAANA YA KUIGIZA WAIGE HATA MATAIFA YA NJE
hKichaka Senior Member Joined Apr 23, 2011 Posts 199 Reaction score 19 Oct 7, 2011 #47 Ni shida ya hela tu ndio inayowasumbua siyo kingine si unajua umasikini mbaya bwana unaweza kufanya lolote kwa hela .............
Ni shida ya hela tu ndio inayowasumbua siyo kingine si unajua umasikini mbaya bwana unaweza kufanya lolote kwa hela .............
Chenge JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 1,073 Reaction score 378 Oct 7, 2011 #48 Nyandaigobeko said: Hao jamaa bado una muda wa kuwaangalia?! Toka wamehamia CCMBC wamekua mapimbi kabisa!!! Click to expand... Kumbe ndo maana walitaka kuichoma TBC jana
Nyandaigobeko said: Hao jamaa bado una muda wa kuwaangalia?! Toka wamehamia CCMBC wamekua mapimbi kabisa!!! Click to expand... Kumbe ndo maana walitaka kuichoma TBC jana
Chenge JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 1,073 Reaction score 378 Oct 7, 2011 #49 hKichaka said: nA UMAARUFU WAO NDO UNAANZA KUISHA ...HAWAJUI MAANA YA KUIGIZA WAIGE HATA MATAIFA YA NJE Click to expand... Sio kwamba umaarufu wao ulishakwisha siku nyingi sana?Hata yule mgombea wa UPDP kule Igunga anawazidi sana
hKichaka said: nA UMAARUFU WAO NDO UNAANZA KUISHA ...HAWAJUI MAANA YA KUIGIZA WAIGE HATA MATAIFA YA NJE Click to expand... Sio kwamba umaarufu wao ulishakwisha siku nyingi sana?Hata yule mgombea wa UPDP kule Igunga anawazidi sana