MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,369
Aisee hivi kile ni nini au ni macho yangu ki ukweli li kipindi halivutii hata kidogo haichekeshi hata kidogo nimeshangaa sana ina maana nyinyi ndo mlikaaa miez kadhaa mkajipanga ndo kmmerudi kwa staili hii.
Asiee chukueni hii kama changamoto.
Mkajipange.
1.Aaangalii comedy
2.Agombani na mwanamke
Hao kwisha Kabisa, wamebaki kujipodoa na macream na kuvaa kike kike sasa sijui huo ndio ucheshi ama wao ni mawakala wa ushoga.
Brother K kwenye futuhi ni mpango mzima.
mi sioni chochote si original comedy si futuhi na wale wajinga wengine wanaojita comedians hawana lolote linalochekesha....watafute kazi nyingine ya kufanya....vichekesho watuachie tuchekeshana wenyewe...maisha yetu yenyewe ni kichekesho tosha....
mi maisha yangu sio kichekesho,ntakuwa nayacheka yako