masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,369
- 19,228
nimeangalia kidogo kwa wakuvanga na wimbo waliopiga 'elimu ya mjinga' , nothing new
nrdhan niko peke yangu, nimeacha kitambo sana kuwafatilia hawa jamaa, ckuhz najchekia wale kina "mzee wa magumash" eatv
wanalipwa vizuri huenda, c unajua tena wako kituo bora? hivo waneridhika, lakini hakuna wanachofanya kwakweli.
yaani magren kate,bea tu eti mdudud anamfata alafu ndo basinimeiangalia ni yakiduanzi afadhal ile ya zaman
et yule wakuvanga anaongea bila tafsida mara ukitembea kishoga una megwa mara bangi..na yule makregan ndio sijamuelewa kabisa sasa ndio nini vile
hawana jipya
bora shabaniiiii na kanjibai
Wale futuhi mimi ndio huwa siwaelewi.