Original ashki mahjununi

Original ashki mahjununi

Haka katabia mimi sikapendelei kuingiza mokono kunako tena kuna wengine mnaweza mkawa mpo masela tupu mnapiga stori mwenye katabia kake akaanza kuingiza mkono msituni.

Hii sio poa kabisa
 
Halafu akiutoa ananusa
 
Halafu akiutoa ananusa
Ulijuaje?

Umelenga mle mle.

Ndio zao tena wakati ananusa anazuga kwanza, sasa mtu unaestukia mchezo inabidi uzuge kama haufahamu kinachoendelea ili upate kumchora vizuri
 
Halafu awe na mikucha mirefu michafuuu
 
Back
Top Bottom