Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,541
- 139,848
tanzania ni yetu soteEndelea kubaki huko utapewa kazi ya pale bilz....
we umenenaInaitwa kuccmisha Utumishi wa Umma... [emoji41]
Kaka chukuwa kadi ya ccmSasa hivi bila kadi ya chama hupati kabisaaaa Kazi Serikalini....Waseme tu kuwa kuanzia sasa moja ya kigezo ni kumiliki kadi ya CCM watu tujuwe moja....Hii hapana asee!!JPM nilikupa kura yangu usinifanye nijutie na wife kunicheka....Maana Wife alikuwa UKAWA mpaka nilitaka "kumuhamishia" kwa Mama Regina ile 2015
Heti na huyu wangu wa zamani kapewa U-DAS huko Same??Hapana hapana hapana huu ni upendeleo
Jamani huyu Kayombo anakuwa DED??Kweli Tanzania nchi yangu balaaaaView attachment 364354View attachment 364355
kwani Nchi hii ni Mali ya ccm?Endelea kubaki huko utapewa kazi ya pale bilz....
Sasa huyo mwanachama wa CCM si mtanzania?kwa nini msiwatafute watanzania ambao hawana affiliation na chama chochote na list yake mkampa raisi ili awachague hao?wachemi kulala pigeni kaziTanzania siyo mali ya CCM. Ni mali ya Watanzania wote pasipo kujali ufuasi au ushabiki wa vyama vyao.
Lakini kwa yanayoendelea sasa lazima yatakuwa na athari kwa maendeleo na hata mshikamano kama taifa.
Kwanini amchague Ben Saanane kada wa chama??Hapa angechagua vijana walio "neutral" na wasiofungamana na vyama vyovyote.Fanyeni kazi majungu sio mtaji.Mletegemea magufuli amteue Ben Saanane? Atafanya nae vipi kazi,wakati hata kumtambua hamtambui
Ili kazi ziende,inabidi kuwe na maelewano toka juu hadi chini,huwezi kuteua mkuu wa mkoa toka chadema,ambako mwenyekiti kuna siku atakurukupuka ataamuru wakuu wote wa chadema wasusie ofisi kwa muda usiojulikana,kazi hazitaenda
Tumeona hapa kwa mameya tu,wote wameambiwa wasusie shughuli za serikali,je kungekuwa na ma Rc na ma Dc? Acheni ccm wateuane ndio waliopewa mamlaka,na siku ukawa wakibahatika kuingia ikulu watafyeka ccm wote,tatizo lipo wapi