Oresund Bridge (Underwater bridge)

Oresund Bridge (Underwater bridge)

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,453
Reaction score
10,059
Oresund Bridge, ni daraja ambalo limeingia ndani ya maji na magari yanapita bila wasiwasi, lipo katikati ya Sweden na Denmark.
Hapa ni mwanzo wa daraja
View attachment 221306

Picha hii inaonyesha kipande cha daraja kinachoingia majini
View attachment 221308

View attachment 221310

picha ya sehemu ya daraja magari yanapoanza kuingia ndani kuelekea uoande wa pili
View attachment 221311

hapa ni ndani ya daraja
View attachment 221314

ramani ya daraja hilo
View attachment 221315

sehemu ya pili ya daraja
View attachment 221316
 
Tanzania labda tusubiri ujio wa utawala wa mpinga kristo kama upo, vinginevyo level yetu daraja la kigamboni ndiyo mwisho wetu.
 
Tuwe na positive thinking, tukipata uongozi thabiti tunaweza hata zaidi ya hilo daraja... Nchi za far east kama Singapore zilikuwa sawa na sisi kiuchumi wakati wa uhuru wetu na wao, wameendelea zaidi yetu kutokana na uongozi thabiti.
 
Back
Top Bottom